Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Haina ubaya wowote sema mnaweweseka. Toka 1984 mpaka 2020 ni utamaduni Ccm alafu leo hii ndio mjidanganye.Hii hoja ni mbaya sana kwa CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina ubaya wowote sema mnaweweseka. Toka 1984 mpaka 2020 ni utamaduni Ccm alafu leo hii ndio mjidanganye.Hii hoja ni mbaya sana kwa CCM.
Huu utamaduni umejengeka toka 1984 ndani ya Ccm leo hii ndio mhoji kweli?Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.
Jr[emoji769]
Kuwa muelewa. Customs huzaa kitu kinaitwa customary law. Kwa hiyo toka 1984 mpaka 2020 hii desturi imeshakuwa kama sheria. Acheni wivu pambaneni na Chadema inayokufa.Hivo Ni vyama karibu vyote ikiwemo ccm Mkuu.msikilize polepole mwanaccm kugombea urais marufuku
Polepole hajazuia watu kugombea. Ila desturi ndani ya Ccm zaidi ya miaka 36 imeshakuwa kama sheria. Wana Ccm kwa moyo mweupe huwa wanamuachia aliyepo madarakani kupeperusha kibenderaa.Haahaa polepole kaweka mgombea wake mfukoni, anazuia wana ccm wengine kuomba ridhaa ya chama kugombea urais.kisingizio mila na desturi kinyume na katiba.mbaya zaidi msajiri yupo kiimya.
Ukishaelewa kwamba sio lazima kuiga Marekani kwa kila upuuzi utaelewa mambo mengi sana ya msingi.Samahani wana jf naomba mnieleweshe maana sijui kila kitu
Hivi Rais wa sasa wa marekani D.Trump alipambanishwa na wagombea mwingine ndani ya chama cha Republican ili kugombania urais kupitia chama cha Republican.
Au George Bush alipogombea kwa mara ya pili 2004 kupitia Republican alishindanishwa na wagombea wengine
Au Barack Obama 2012 alipokuwa anagombea mara ya pili alipitishwa tu au alipambana na wengine ndani ya Democratic
Jibu hoja mkuu,Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha CCM
Ndio mana tunaamini CCM itatawala miaka 100, wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao.
Demokrasia imeanzia hukoUkishaelewa kwamba sio lazima kuiga Marekani kwa kila upuuzi utaelewa mambo mengi sana ya msingi.
Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.
Jr[emoji769]
Wanawaogopa waliowaita mfu,je wakija waliohai si watatamabi dunia ioasuke na kuwameza.Kweli CCM ni waoga wa hata kivuli chao.Wamekuwa stressed to the maximum, the guilty are afraid.
Hili ni swali tu ndugu zangu na wala halina uhusiano na jambo lolote lile.
Maana tumeanza kuona vyama vingine vya siasa vikiruhusu watia nia kujitokeza na kujitangaza.
Je, CCM nayo itafuata misingi ya demokrasia kama dunia na katiba ya nchi inavyoelekeza?
Membe hana ushawishi wowote. Wala hajawahi kutangaza nia ila ni uzushi na propoganda chafu za Chadema. Membe dharau zake kwa viongozi ndio zilimfanya atimuliwe..Moyo mweupe means hakuna watia nia, je wakijitokezamtawaruhusu? Vipi Membe aliyetangaza nia ya kugombea na mizengwe mliomfanyia hakuijua desturi hiyo ya miaka 36? Hivi mtu kafanya mambo mengi na makubwa for 5yrs now? Mnaogopaje kumpambanisha na Membe na wengineo ndani ya chama?
Mko na hofu gani ndani ya chama?
Hoja za kijinga sana unaleta hapa , Mlivyotaka kumuua Membe sababu yake ilikuwa nini ? au Mangula alipewa sumu kwa sababu zipi ?Polepole hajazuia watu kugombea. Ila desturi ndani ya Ccm zaidi ya miaka 36 imeshakuwa kama sheria. Wana Ccm kwa moyo mweupe huwa wanamuachia aliyepo madarakani kupeperusha kibenderaa.
Ulichojibu kinahusiana nini na desturi za kumuachia aliyepo madarakani aendelee kugombea? Au ndio 0 brainHoja za kijinga sana unaleta hapa , Mlivyotaka kumuua Membe sababu yake ilikuwa nini ? au Mangula alipewa sumu kwa sababu zipi ?
Membe alitaka kuuliwa? Mangula kupewa sumu nenda kawaulize polisi.Hoja za kijinga sana unaleta hapa , Mlivyotaka kumuua Membe sababu yake ilikuwa nini ? au Mangula alipewa sumu kwa sababu zipi ?
Jambo ambalo haliwezekani kabisa,ndio Mana walimtimua Membe sababu hiyoWakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.
Jr[emoji769]
Shida ya CHADEMA inalindwa na jina na nembo yake.
Lakini mifumo ya utawala ina matatizo sana.
Jina linaakisi vingine viongozi wanafanya vingine.
Nikweli,ila CCM kidoogo wanaweza kukaa na kuamua jambo kiutawala.
Lakini kwa.chadema wao ukiangalia hata wabunge wao tangu enzi za chacha wangwe.mwenyezi mungu amulehemu.
Ugomvi wao ni uleule wa ubinafsi kwa viongozi wajuu.
Wanajiangalia wao wenyewe.
Lakini sijawahi kusikia ccm wabunge wanalia njaa au kulalamikia ukanda kwenye mgawanyo vipato.
Sijawahi kusikia ccm wanalia njaa wabungewao.
huna hoja wewe kapuku , endelea kulipwa elfu 7 ili ujikimuMembe alitaka kuuliwa? Mangula kupewa sumu nenda kawaulize polisi.
Hoja hapa ni desturi ya Ccm kuwa wanamuachia aliyepo madarakani kumaliza ngwe ya pili. Ni suala la kawaida ndani ya Ccm. Nyie pambaneni na ishu ya ubadhilifu wa bil 8 kwanza.