unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Katiba za vyama vyao zinaelekezaje?
Kanuni na taratibu za chama cha CCM zinasemaje. Mwanachama gani wa ccm hujui katiba huwa Ina customs pia. Mana najua mpinzani hawezi pta muda wa kuuliza mambo ya chama kingine. Please usimdhalilishe Polepole. Mpigie simu kimya kimya. Iko wazi hiyo hata kwa Sisi WABEBA MABOX huku.
Pili kipropaganda haeindi.
Tatu. JPM anatosha. Hatutaki wapiga kelele. Tunataka. Watendaji. Akisema hiki kinakuwa. Pole wanaccm.