Heater
Senior Member
- May 28, 2019
- 168
- 350
Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na.
>Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa)
>Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura)
>Na zinginezo
Naomba nijikite katika hoja hii ya RUSHWA:
~ Je, ni kweli kwamba hakuna Mgombea Yeyote aliyebainika kutoa Rushwa Katani/majimboni katika kura za maoni?
~ Na kama walibainika, Je, CCM na Mwenyekiti wao ambaye anaaminika kuwa Jemedari wa vita dhidi ya Rushwa kuna hatua gani walizochukua kisheria ili kuonesha kweli hawapendi Rushwa kama ambavyo Mwenyekiti hapendi siku zote za utawala wake?
~ Na kama Mwenyekiti hapendi, Je, Kuna tofauti gani kati ya watoa Rushwa hao, na ambao wengine mpaka muda huu wapo gerezani wakitumikia vifungo?
~ Na kama hakuna tofauti, Je, Inafaa kuishia tu kuwaengua watoa Rushwa hao katika Ugombea pasipo kuwachukilia hatua za kisheria?
~ Na kama inafaa kuishia tu kuwaengua, Je, CCM wanatambua kuwa Rushwa ni Adui wa haki na maendeleo katika Nchi yetu?
~ Na kama wanatambua, Je, CCM ndiye Adui wa haki na maendeleo katika Nchi yetu?
Na kama ndiye Adui, Je, ..............