Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe

Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..

Mashudu haya.
 
Viongozi Hawa wawili wametumikia nchi na wanaendelea kutumikia nchi kwa weledi na uwezo waliojaliwa, wamefanya sehemu yao na sasa wanaelekea uzeeni ambapo watakabidhi mikoba kwa vijana waendelee kulinda nchi yetu.

Viongozi waandamini na hata wa chini ndani ya majeshi haya tunawafahamu kwa kuwa wanatoka kwenye familia zetu.

Nchi ni Mali ya wananchi na wananchi ndo sisi, je kwa kuzingatia kasi ya awamu ya tano, muda wa kustaafu hawa viongozi utakapofika, unadhani nani anafaa kupokea kijiti? Kwanini unadhani anafaa?
Wakifuata renki ni ngumu kubashiri humu.
Ila kiundugu ndugu lazma upande ule
 
Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe

Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..
kwamba mkuu wa TISS hataki kutoka au hataki kuongezewa muda??
 
Nyie ndio mwezi October mlivunja watu viuno huko Zanzibar eeeh?
Umeconclude vibaya kutokana na majibu yangu mkuu. Hiko unachokiwaza kikotofauti sana. Soma machangizo yangu humu utajua mlengo wangu wa ufikiri kuhusiana na swala zima la haki na maendeleo.
 
Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe

Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..

Mbona Kipilimba alifurushwa chap chap Diwani akaapishwa japo nae hana muda mrefu atarudishwa jeshi la polisi
 
Ngoma nzito kwamba huwezi fanya kazi zaidi ya miaka 10,hii ni kwa mjibu wa TISS Act,pia huwezi fanya kazi na Maraisi wawili tofauti,ndiyo maana nikasema ngoma nzito kwamba,ukifikisha 10 yako kumi,lazima usepe hata kama hujafika 60

Lakini kila Rais lazma aje na watu wake katika position flan flan
 
Mfugale anadunda tu Tanroad wakati yuko well above 60. Kwa JPM Kila kitu kinawezekana.
Huyu uncle nitamaliza nae muda umeshapita zaidi miaka *4 sasa ...nasubiri 2025 Mungu akimuweka hai tunatoka wote .... sasa anapambana kiwanda chake kukamua alizeti na kusaga unga akimaliza awe busy nacho......pale home kwetu njiani tu ....kuelejea ifunda ......
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ndiyo Mwenye Uamuzi Wa Mwisho Kuhusu Tanzania
Anaweza Kumuongezea Yoyote Atakavyo!!

Police Waliosindikiza Madini Walikamatwa Na Ushahidi
Ununuzi Wa Drones Za Kuzima Moto
Baadaye Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Aliwasamehe Wote Hiyo Ni Mifano Michache
 
Siyo lazima CoS amrithi CDF, ye yote kuanzia Brigadier General anaweza kuwa CDF. Ni mapenzi ya Rais kuamua.
Utoke ubrigadier general yani one star general, uwaluke major generals,luteni generals afu uwe general haiwezekani...vyeo vya kijeshi hupanda kwa ngazi wanaomrithi cdf ni ma general ambao ni three star generals (luteni jenerali) yani lazima ufike cheo cha uluteni jenerali ndipo uwe cdf....huwez tu ukatoka ubrigadier au major general uwe cdf bila kuwa luteni general
 
Ngoma nzito kwamba huwezi fanya kazi zaidi ya miaka 10,hii ni kwa mjibu wa TISS Act,pia huwezi fanya kazi na Maraisi wawili tofauti,ndiyo maana nikasema ngoma nzito kwamba,ukifikisha 10 yako kumi,lazima usepe hata kama hujafika 60
hakuna kisichowezekana ndugu.
weredi tu ndio unafanya mtu akae na marais zaidi ya wawili,miaka 10 au na zaidi,au hata mwaka tu.

hakuna ugumu wowote kumpata mwingine,kama ulivyoona diwani alienda kushika idara akitokea jeshi la polisi,kwahiyo kama hajaridhisha atatoka tu,na kuwekwa mwingine faster.
 
Mbona Kipilimba alifurushwa chap chap Diwani akaapishwa japo nae hana muda mrefu atarudishwa jeshi la polisi
diwani bado ni polisi mpaka astaafu.

ukitaka kuelewa subiri muda wa kustaafu ufike,atachezewa parade ya kuagwa.

kwahiyo sio kwamba kwa sasa hayuko polisi.
 
Mfugale anadunda tu Tanroad wakati yuko well above 60. Kwa JPM Kila kitu kinawezekana.
Kuna umri halali na umri wa kazini na hao wengi wenye miaka 50-60 hawana vyeti vya kuzaliwa hivyo walivyoingia kazini walikuwa wanaulizwa tu una umri gani wanaamua wenyewe. MTU ana 28 anasema ana 20.
 
Back
Top Bottom