Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Sio lazima CoS ndio achaguliwe kuwa CDF wakati Mboma anateuliwa kuwa CDF wala hakuwa CoS na wala Waitara wakati akiteuliwa CDF hakuwa CoS na isitoshe wakati Gen.Mboma anastaafu walistaafu pamoja CoS Gideon Sayore wala rais hakusubiri eti kwanza aanze kustaafu Sayore amteuwe CoS mwingine eti baadaye ndio aje kuwa CDF kumbukumbu zangu katika miaka ya karibuni ni Gen.Mwamunyange na Gen.Mabeyo tu ndio walianza kuwa CoS na baadaye kuwa CDF na hata polisi kuwa Kamishna pale makao makuu sio kigezo kwamba ndio ateuliwa kuwa IGP mfano mzuri ni Mahita aliteuliwa kuwa IGP akitokea Arusha kama RPC.
Ulisoma hiyo item ya tatu kwenye list niliyoweka? Wewe unasoma sentensi moja tu halafu unafanya conclusion?

Halafu kwa utaratibu wa siku hizi bado rais hawezi kumnyanyua mtu kutoka popte na kumfanya mkuu wa majeshi mtu anayetakiwa kupewa majukumu aletwe karibu na majuku hayo kwanza kabla hajapewa, na hiyo ndiypo maana CoS anakuwa na nafasi kubwa. Ule utaratibu wa Zamani ambapo Twalipo alipandishwa kutoka luteni kanali na kuwa major general na kupewa ukuu wa majeshi hautumiki tena ingawa rais anayo mamlaka hayo; ni lazima ajadiliane na viongozi wakuu wa jeshi walipo madarakani sasa hivi (CDF na CoS) katika kuteua makamanda mbalimbali.
 
Hapo ndiyo huleta shida sasa, yaani unaacha CP unamchukua SACP?? Yale yale ya Chagonja na Mangu! Hata CDF Mabeyo kuna watu wanasema hakupaswa kua CDF,lakini ndo mkubwa akisema no way out
Mangu hajawahi ruka cheo
 
Kwa mujibu wa katiba Rais hafungwi na ushauri wa yeyote kwani mamlaka ni yake na hakuna utaratibu wowote mpya tofauti na ilivyokuwa zamani sema wabongo jambo likitokea mara mbili tatu tunakariri kwamba huo ndio utaratibu,si kweli.
Hukusoma jibu langu vizuri.
 
Kwa Tanzania hao hata miaka 100 wanasonga tu mfano sasa wote wana zaidi ya miaka 63 lakini nado wanaendelea kusonga mpaka 2025.
Mkuu hadi kifo kiwatenganishe na madaraka. Angalia Maprofesa wengi wanavyojitoa ufahamu ili tu wasalie madarakani.
 
Hujaelewa! Chagonja alianza kupanda cheo hadi CP, nadhan kwa akili zake,alijua he is the next IGP baada ya Mwema! Matokeo yake akapata Mangu na kua IGP, Chagonja alipokosa U IGP akawa ana muhujumu Mangu,ndiyo maana Magu aliwatoa wote pale,alianza na Chagoja akampa RAS sijui mkoa gani huko,then kwa heshima akampa ubalozi Mangu huko Rwanda
Mangu alipewa U'IGP' na Kikwete, na sababu aliyopewa U'IGP' ilikuwa ni kwamba Mangu ametumikia Uaskari kwa muda mrefu kabla ya kuwa Afisa ;hii inakuwaga faida kwenye kupata teuzi za ukuu wa jeshi majeshi yote
 
Siyo lazima CoS amrithi CDF, ye yote kuanzia Brigadier General anaweza kuwa CDF. Ni mapenzi ya Rais kuamua.
Mkuu kwa sasa hatuna Uongozi wa Sheria wala kifuata kanuni zilizowekwa ili kumpata/kuwapata Wakuu wa Majeshi yetu. Hivyo Jiwe anawezampa nafasi yeyote yule hata nje ya Ranks ulizozitaja.
 
Utaratibu wa jeshi hauko hivyo mkuu. Huko Kuna kitu kinaitwa hierarchy yaani anayefuatia kingazi ndiye anayetwaa madaraka ya mbele yake. Kwa cheo cha CDF kinatwaliwa na Mnadhimu mkuu wa jeshi pia hapo hapo Katiba ya jeshi ikimtambua kama Military Financial Controller MFC ambaye sharti awe na rank ya Lieutenant General.
Jeshi sio kama polisi kwa Commissioner of police yeyote anaweza kuwa Inspector General.
Mkuu nikuulize swali, Ni kwanini Magu hajawahi kwenda Chuo Cha Maafisa Monduli kuwavisha Nishani Wahitimu kama walivyokuwa wakifanya Watangulizi wake?? Je Wahitimu wanaruhusiwa kuvishwa nishani zao sehemu tofauti na pale walikohitimu mafunzo yao??
 
Polisi kuna raha kidogo umri wowote unaweza kuvaa jiwe ila Jwtz ukiona 35 imekukuta hujaenda monduli ndio basi tena.
Mangu alipewa U'IGP' na Kikwete, na sababu aliyopewa U'IGP' ilikuwa ni kwamba Mangu ametumikia Uaskari kwa muda mrefu kabla ya kuwa Afisa ;hii inakuwaga faida kwenye kupata teuzi za ukuu wa jeshi majeshi yote
 
Polisi kuna raha kidogo umri wowote unaweza kuvaa jiwe ila Jwtz ukiona 35 imekukuta hujaenda monduli ndio basi tena.
Na hata kimaslahi jiwe la polisi halifikii nusu ya maslahi ya jiwe la JWTZ
 
Mkuu kwa sasa hatuna Uongozi wa Sheria wala kifuata kanuni zilizowekwa ili kumpata/kuwapata Wakuu wa Majeshi yetu. Hivyo Jiwe anawezampa nafasi yeyote yule hata nje ya Ranks ulizozitaja.
muhimi ni watu waache mazoea na kufanya kazi kwa weredi na hati safi.

mtu una makando kando kibao,halafu unataka upewe kichaka kama hichoo uuze idara,hizi nchi utawala wa sheria unayumbishwa na tabia za wahusika.
 
sio sawa kutaja humu ila kama umetafiti jiwe moja la polisi ni kiasi gani basi zidisha mara mbili ongeza na chenji kidogo.
Ila huko UN peace keeping missions jiwe la polisi lina hela ndefu kuliko la Jwtz,inashangaza!!
 
maslahi kwa polisi bado sana.

labda kwa juhudi binafsi na kuangukia raia.
Kazi yao rahisi kuliko JWTZ

We mtu kazi yako kupambana na majambazi ambao technically ni raia alieshika bunduki kwenda kupora ulinganishe na luteni ambae anaenda front kupambana na adui mpiganaji kweli kweli mwenye silaha aina zote
 
Back
Top Bottom