Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Kazi yao rahisi kuliko JWTZ

We mtu kazi yako kupambana na majambazi ambao technically ni raia alieshika bunduki kwenda kupora ulinganishe na luteni ambae anaenda front kupambana na adui mpiganaji kweli kweli mwenye silaha aina zote
Umeandika kishabiki sana ila wanaojua wapo kimya tu.!
Nani kasema polisi wanapambana na majambazi pekee! rejea mziki wa Kibiti wale ni majambazi au magaidi! Ukishapata majibu,unganisha doti.Siku zote polisi hupima mziki wa mapigano kama mziki ni mkubwa huomba msaada jeshi liingie kati na hii kwasababu jeshi lina vifaa na silaha kubwa.Hivyo basi polisi wanamziki mkubwa pia ktk kuhimarisha ulinzi.
 
Mimi ni kweli sijui

Ila hata mabomu yakikutwa mtaani huwa ni jukumu la JWTZ kuyategua na si polisi

Sasa kupambanana na waliojificha mapori ya kibiti utafananisha na jukumu la kupambana na majeshi ya nchi nyingine vitani
 
Lini mlipigana vita bila ya huwepo wa wadogo zenu polisi!
 
Utaratibu wa jeshi hauko hivyo mkuu. Huko Kuna kitu kinaitwa hierarchy yaani anayefuatia kingazi ndiye anayetwaa madaraka ya mbele yake. Kwa cheo cha CDF kinatwaliwa na Mnadhimu mkuu wa jeshi pia hapo hapo Katiba ya jeshi ikimtambua kama Military Financial Controller MFC ambaye sharti awe na rank ya Lieutenant General.
Jeshi sio kama polisi kwa Commissioner of police yeyote anaweza kuwa Inspector General.
Mkuu ilkuajee Tumainieli Kiwhelu, ambaye alkishika iki cheo cha mnadhimu alishindwa au akuteuliwa kuwa CDF..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ugumu wa kozi unazingatiwa aisee.

huwezi himili ile kozi na miaka 40,inategemea mtu na mtu[emoji38].
Kinachomchosha mwanaume sio umri Bali ni kutumika sana kipochi manyoya. Kuna vijana wa miaka 21 ila wamechoka sababu ya kut*MBA sana ila wapo wengine 35-40 wako vizuri
 
Kinachomchosha mwanaume sio umri Bali ni kutumika sana kipochi manyoya. Kuna vijana wa miaka 21 ila wamechoka sababu ya kut*MBA sana ila wapo wengine 35-40 wako vizuri
yeah maana hata kozi ya *** huwa inaangukia umri huo kwa wengi na wanahimili.

ingawa sio ngumu kama ile ya kwanza.
 
Hakuna kitu kinaitwa Katiba ya Jeshi wewe Nanga.
Uteuzi wa CDF upo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi.
Afisa yeyote aliyefikia rank Brigedier, Major au Liutenant General anaweza kuwa CDF.
Na kwa Taarifa yako enzi za Mkwere kulikuwa na Liutenant General kama 8.
Kwa sasa wako wa tatu, CoS, Mkuu wa TMA na Mkuu wa NDC
Asante kwa kunielewesha mkuu.
 
Mkuu nikuulize swali, Ni kwanini Magu hajawahi kwenda Chuo Cha Maafisa Monduli kuwavisha Nishani Wahitimu kama walivyokuwa wakifanya Watangulizi wake?? Je Wahitimu wanaruhusiwa kuvishwa nishani zao sehemu tofauti na pale walikohitimu mafunzo yao??
Yeye ndiye Chief in Command analoamua linakuwa.
 
Hakuna kitu kinaitwa Katiba ya Jeshi wewe Nanga.
Uteuzi wa CDF upo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi.
Afisa yeyote aliyefikia rank Brigedier, Major au Liutenant General anaweza kuwa CDF.
Na kwa Taarifa yako enzi za Mkwere kulikuwa na Liutenant General kama 8.
Kwa sasa wako wa tatu, CoS, Mkuu wa TMA na Mkuu wa NDC
Kumbe commandant wa NDC ameshakuwa Lt. Gen? Maana wakati anateuliwa kuwa mkuu pale alikuwa Maj. Gen kuchukua nafasi ya aliyetoka pale kwenda kuwa CoS.
 
Back
Top Bottom