Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe
Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..
Wakifuata renki ni ngumu kubashiri humu.Viongozi Hawa wawili wametumikia nchi na wanaendelea kutumikia nchi kwa weledi na uwezo waliojaliwa, wamefanya sehemu yao na sasa wanaelekea uzeeni ambapo watakabidhi mikoba kwa vijana waendelee kulinda nchi yetu.
Viongozi waandamini na hata wa chini ndani ya majeshi haya tunawafahamu kwa kuwa wanatoka kwenye familia zetu.
Nchi ni Mali ya wananchi na wananchi ndo sisi, je kwa kuzingatia kasi ya awamu ya tano, muda wa kustaafu hawa viongozi utakapofika, unadhani nani anafaa kupokea kijiti? Kwanini unadhani anafaa?
kwamba mkuu wa TISS hataki kutoka au hataki kuongezewa muda??Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe
Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..
Nyie ndio mwezi October mlivunja watu viuno huko Zanzibar eeeh?Kwa maelezo niliyotoa jibu unalo.
Umeconclude vibaya kutokana na majibu yangu mkuu. Hiko unachokiwaza kikotofauti sana. Soma machangizo yangu humu utajua mlengo wangu wa ufikiri kuhusiana na swala zima la haki na maendeleo.Nyie ndio mwezi October mlivunja watu viuno huko Zanzibar eeeh?
Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe
Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..
Ngoma nzito kwamba huwezi fanya kazi zaidi ya miaka 10,hii ni kwa mjibu wa TISS Act,pia huwezi fanya kazi na Maraisi wawili tofauti,ndiyo maana nikasema ngoma nzito kwamba,ukifikisha 10 yako kumi,lazima usepe hata kama hujafika 60
Mkuu wa TISS rahisi kupangiwa majukumu mengine.. Ref: Kipilimbakwamba mkuu wa TISS hataki kutoka au hataki kuongezewa muda??
Pia unaweza usifikishe hiyo mi 10 kama KipilimbaUkishafikisha miaka yako ambayo hua sio zaidi ya 10,pia huwezi fanya kazi na Maraisi wawili tofauti!!
Walikuwa wanakula wote lazima wabebaneMfugale anadunda tu Tanroad wakati yuko well above 60. Kwa JPM Kila kitu kinawezekana.
Huyu uncle nitamaliza nae muda umeshapita zaidi miaka *4 sasa ...nasubiri 2025 Mungu akimuweka hai tunatoka wote .... sasa anapambana kiwanda chake kukamua alizeti na kusaga unga akimaliza awe busy nacho......pale home kwetu njiani tu ....kuelejea ifunda ......Mfugale anadunda tu Tanroad wakati yuko well above 60. Kwa JPM Kila kitu kinawezekana.
Utoke ubrigadier general yani one star general, uwaluke major generals,luteni generals afu uwe general haiwezekani...vyeo vya kijeshi hupanda kwa ngazi wanaomrithi cdf ni ma general ambao ni three star generals (luteni jenerali) yani lazima ufike cheo cha uluteni jenerali ndipo uwe cdf....huwez tu ukatoka ubrigadier au major general uwe cdf bila kuwa luteni generalSiyo lazima CoS amrithi CDF, ye yote kuanzia Brigadier General anaweza kuwa CDF. Ni mapenzi ya Rais kuamua.
hakuna kisichowezekana ndugu.Ngoma nzito kwamba huwezi fanya kazi zaidi ya miaka 10,hii ni kwa mjibu wa TISS Act,pia huwezi fanya kazi na Maraisi wawili tofauti,ndiyo maana nikasema ngoma nzito kwamba,ukifikisha 10 yako kumi,lazima usepe hata kama hujafika 60
diwani bado ni polisi mpaka astaafu.Mbona Kipilimba alifurushwa chap chap Diwani akaapishwa japo nae hana muda mrefu atarudishwa jeshi la polisi
Hahaha jamaa anatakaa mafaoo yaooo nnInawezekana!
Masuala ya usalama yanawafaa wana-usalama wenyewe. Sisi raia wa kawaida hatujui vigezo vyao vya kuteuana.je kwa kuzingatia kasi ya awamu ya tano, muda wa kustaafu hawa viongozi utakapofika, unadhani nani anafaa kupokea kijiti? Kwanini unadhani anafaa?
Kuna umri halali na umri wa kazini na hao wengi wenye miaka 50-60 hawana vyeti vya kuzaliwa hivyo walivyoingia kazini walikuwa wanaulizwa tu una umri gani wanaamua wenyewe. MTU ana 28 anasema ana 20.Mfugale anadunda tu Tanroad wakati yuko well above 60. Kwa JPM Kila kitu kinawezekana.