Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Hadi tabia zao zinafanana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

E bana miaka ya nyuma nilikuwa na mshkaji ni Askari wa Uhamiaji sasa wakati tunapiga story kuhusu hawa wasiojulikana akaniambia mishahara yao miaka ya nyuma sana kitu kama miaka ya 2009 kurudi nyuma ilikuwa laki nane

Akaniambia mengi akaendelea kusema kuwa hata mafunzo yao hawa wasiojulikana yanafanana na mafunzo ya Wajeda mfano hadi magwaride(kwata) ,mafunzo ya kivita na zote kama tu wajeda


Ila nachukua na wewe ulilosema pia

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mabeyo anapewa hicho alikuwa mnadhimu?
 
Bado kulikuwa na mameja jeneral Senior zaidi yake lakini mbona alipewa yeye kuazaia cheo cha bregedia anaweza kuwa cdf
 
Mbona akina shimbo,meena hakuwa macdf acha ubishi
 
Wewe rais anaweza kumpandisha Leo major general kesho cdf rais hivyo sio msaafu wala havina kozi ya kusome ni rais ndio anawapandisha
 
Umenikumbusha mbali sana Field Marshal Hussein Tantawi akiongoza Baraza la Kijeshi la Misri akiwa na Umri wa miaka 70
 
RPC wakati huo alikua na Cheo gani bwana Mahita?? Huwezi mteuwa Mambo Sasa kua IGP wakati hata CP hajafika!!
Ulishawahi kusikia wanasomea uCP hivi unajua madaraka ya Rais wa inchi yetu wewe Rais anaweza kukuteuwa hata wewe ukawa IGP na hakuna mtu yeyote wa kumuhoji
 
Hapo ndiyo huleta shida sasa, yaani unaacha CP unamchukua SACP?? Yale yale ya Chagonja na Mangu! Hata CDF Mabeyo kuna watu wanasema hakupaswa kua CDF,lakini ndo mkubwa akisema no way out
Vile vyeo vya juu havisomewi ni rais ndio anawapandisha kadri anavyoona.
 
Sio lazima rais kushauriana na mtu yeyote katiba inampa mamlaka rais kufanya anavyoona yeye yaani rais akae na mamejor general ashauriane nao kuhusu uteizi wa cdf uliona wapi hiyo
 
Chagonja na mtweve ndio walikuwa maCP Senior pale makao makuu lakini mbona rais akamua kuwatoa
 
Mkuu nikuulize swali, Ni kwanini Magu hajawahi kwenda Chuo Cha Maafisa Monduli kuwavisha Nishani Wahitimu kama walivyokuwa wakifanya Watangulizi wake?? Je Wahitimu wanaruhusiwa kuvishwa nishani zao sehemu tofauti na pale walikohitimu mafunzo yao??
Unapoteza kumbukumbu magu amekwenda kuwavisha nishani monduli mwaka 2016 kuwavisha nishani nje ya monduli ni maamuzi yake kama rais
 
Hamna kitu,Jeshini bila kwenda UN mission unakufa Masikini,labda uwe National Service kwenye Projects za Ki Siasa na Kusafiri Safiri
Point ukiwa JKT kidogo unaweza kujishunghulisha na shunghuli nyingine lakini kule tpdf njaa Kali sana ukiwaona na bakabaka laaaa
 
Hahahaha
CDF Mwenyewe hafiki 5M
Sema tu ana allowance na Privilages za kutosha,Nyumba Free,Usafiri,Ulinzi,Maji,Umeme etc
Huyu jamaa sijui wa wapi hata hajui rengi za mshahara kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…