Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga.

Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua?

Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu

IMG_4342.jpeg
 
Mbona kuna wachezaji wanazima Yanga na tunawajua ni simba damu damu
 
Ukiacha CEO.timu inaendeshwa na watu wengine tofauti kabisa
 
Muacheni bwana msimuharibie ajira yake ,ni sawa mtu kutoka NMB kwenda NBC ,Voda kwenda tigo ,hiyo ni ajira tu.

Mbona pia alikuwa Mbunge.
 
Back
Top Bottom