Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga.

Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua?

Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
View attachment 3160466
Huyu Zubeda sakuru, Baba yake Mzazi Mzee Sakuru ndio Wachezaji wa Sunderland, Baadaye Timu ilipobadilishwa jina kutoka Sunderland kwenda Simba Mwaka 72, Bado Alikuwa Mchezaji wa Simba Mbaka Mwaka 75, Nadhani Ndio Alipostahafu Football, Mzee Sakuru Alikuwa Sunderland Baadaye Simba sports Club
 
kwani CEO duties and responsibilities zinaingiliana vp na ushabiki..
 
Kwani mkuu ajira haina vigezo? Tukisema kigezo cha nafasi ya CEO pamoja na vigezo vingine, usiwe shabiki wa Yanga, inakuwa sio ajira?
Umewahi kukuta mhasibu wa Kanisa awe mwislamu kwa sababu ni ajira?

Moja ya haki za binaadam na sheria za nchi ni kwamba ajira isiwe ina ubaguzi wa jinsi/dini/disability etc nafasi iliyotangazwa ni ajira ya UCEO waliweka qualification ,i'm sho' hicho kipengele kwamba lazima awe mshabiki wa simba hakikuwepo na wangekiweka basi hiyo ajira ni void ina ubaguzi.

Hata kanisani kuna baadhi ya wafanyakazi ni waislamu ,unataka kusema wafagiaji ,walinzi etc ni wakristo?
 
Huyu Zubeda sakuru, Baba yake Mzazi Mzee Sakuru ndio Wachezaji wa Sunderland, Baadaye Timu ilipobadilishwa jina kutoka Sunderland kwenda Simba Mwaka 72, Bado Alikuwa Mchezaji wa Simba Mbaka Mwaka 75, Nadhani Ndio Alipostahafu Football, Mzee Sakuru Alikuwa Sunderland Baadaye Simba sports Club
Asante Kwa Taarifa!
 
Mbona yule white alikuwa ni Simba damu damu na utopolo wakampokea?
 
Hawa ndo mashabiki waliokataa uMBUMBUMBU. Kama jirani yako kafanya vizuri lazima umsifie na kumsifia sio lazima uhamie kwake! Chukua mazuri yake nawe kayaboreshe kwako.

Huyo CEO sasa atatumia mazuri ya yanga kuwaongezea ubora simba. Na hii ndo jinsi system ya maisha inavyoenda
Nasimama na wewe mkuu
 
Kwa ulichonukuu kutoka kwa si i o ni kwamba yeye ni simba aliamua kuwa mkweli kuhusu Yanga hili ndo linawasumbua mashabiki wengi wa Tz
 
Back
Top Bottom