Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Kama kweli ni Yanga hiyo haiwezekani kuajiriwa Simba, BIG No. Tutamsagia tu
Ngoja tuchimbue zaidi. Mfano wa banks ni irrelevant kabisa
Huyo ni Simba mwenzenu, ila hata angekkuwa Yanga kuna shida gani? Kikubwa ni anatumia taaluma yake
 
NASHANGAA WATU KUCHELEWA KUJUA KWAMBA YANGA NI TIMU YA KILA MTU AFRIKA
 
Baba kuwa na mapenzi na timu furani haiwezi kuwa sababu ya mwanawe kupenda timu hiyo.
Kwa mfano
Baba yake Jamuhuri Kiwelu alikuwa mwananchama mwandamizi wa Yanga, lakini Jamuhuri mwenyewe humuelezi kitu akakuelewa kuhusu Simba.
Mfuatilie vizuri zubeda kule twitter
 
Back
Top Bottom