Je, CEO mpya wa Simba ni shabiki wa Yanga?

Mbona kuna wachezaji wanazima Yanga na tunawajua ni simba damu damu
 
Ukiacha CEO.timu inaendeshwa na watu wengine tofauti kabisa
 
Muacheni bwana msimuharibie ajira yake ,ni sawa mtu kutoka NMB kwenda NBC ,Voda kwenda tigo ,hiyo ni ajira tu.

Mbona pia alikuwa Mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…