Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Kwa hiyo ukiwa mbunge tu basi mkono wa Jakaya unakufikia? Mbona Mo naye alikuwa mbunge?Nilivyosikia alikuwa mbunge, nikajua tu hapo kunaweza kuwa na shida ila ngoja tuone. Tukumbuke mkono wa Jakaya ni mrefu sana.
Huyu Zubeda sakuru, Baba yake Mzazi Mzee Sakuru ndio Wachezaji wa Sunderland, Baadaye Timu ilipobadilishwa jina kutoka Sunderland kwenda Simba Mwaka 72, Bado Alikuwa Mchezaji wa Simba Mbaka Mwaka 75, Nadhani Ndio Alipostahafu Football, Mzee Sakuru Alikuwa Sunderland Baadaye Simba sports ClubUkienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga.
Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua?
Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
View attachment 3160466
Kwani mkuu ajira haina vigezo? Tukisema kigezo cha nafasi ya CEO pamoja na vigezo vingine, usiwe shabiki wa Yanga, inakuwa sio ajira?
Umewahi kukuta mhasibu wa Kanisa awe mwislamu kwa sababu ni ajira?
Asante Kwa Taarifa!Huyu Zubeda sakuru, Baba yake Mzazi Mzee Sakuru ndio Wachezaji wa Sunderland, Baadaye Timu ilipobadilishwa jina kutoka Sunderland kwenda Simba Mwaka 72, Bado Alikuwa Mchezaji wa Simba Mbaka Mwaka 75, Nadhani Ndio Alipostahafu Football, Mzee Sakuru Alikuwa Sunderland Baadaye Simba sports Club
Nimetoa tu angalizo. Tunaona wanasiasa kina Mangungu wanavyotusumbua huku wakiwa "incompetent" kabisa kwenye uongozi wa mpira.Kwa hiyo ukiwa mbunge tu basi mkono wa Jakaya unakufikia? Mbona Mo naye alikuwa mbunge?
Wajinga haoUkienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga.
Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua?
Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
View attachment 3160466
Waulizwe Utopolo, hata wao walimpokea kwa sababu hawana sautiMbona yule white alikuwa ni Simba damu damu na utopolo wakampokea?
Nasimama na wewe mkuuHawa ndo mashabiki waliokataa uMBUMBUMBU. Kama jirani yako kafanya vizuri lazima umsifie na kumsifia sio lazima uhamie kwake! Chukua mazuri yake nawe kayaboreshe kwako.
Huyo CEO sasa atatumia mazuri ya yanga kuwaongezea ubora simba. Na hii ndo jinsi system ya maisha inavyoenda
Ktk hizo tweets hujaelewa chochote?Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga.
Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua?
Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
View attachment 3160466
Zubeida ana damu ya simba toka kwa wazaz wakeMo ndio anatuletea virusi anaajili watu bila kujua historia yao ya mpira
Ukimtoa kibabage nani mwingine?Mbona kuna wachezaji wanazima Yanga na tunawajua ni simba damu damu
Baba kuwa na mapenzi na timu furani haiwezi kuwa sababu ya mwanawe kupenda timu hiyo.Zubeida ana damu ya simba toka kwa wazaz wake
Yanga inaona mbali sana.Mshayatimba dadekiiKama kweli ni Yanga hiyo haiwezekani kuajiriwa Simba, BIG No. Tutamsagia tu
Ngoja tuchimbue zaidi. Mfano wa banks ni irrelevant kabisa
Hujaelewa nini hapo?Ukienda kwenye mtandao wa X zamani Twitter, tafuta jina la CEO kisha search neno Yanga utapata tweets zote alizopost kuhusu Yanga.
Je, Simba imeajiri mtu mwenye vinasaba na Yanga pasipo kujua?
Soma Pia: Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu
View attachment 3160466
Hiyo mbona kawaida huko duniani mkuu. Kwani bi zuhura anqcheza namba ngapi?Mo ndio anatuletea virusi anaajili watu bila kujua historia yao ya mpira