PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Nov 25, 2024 #41 OKW BOBAN SUNZU said: Kama kweli ni Yanga hiyo haiwezekani kuajiriwa Simba, BIG No. Tutamsagia tu Ngoja tuchimbue zaidi. Mfano wa banks ni irrelevant kabisa Click to expand... Huyo ni Simba mwenzenu, ila hata angekkuwa Yanga kuna shida gani? Kikubwa ni anatumia taaluma yake
OKW BOBAN SUNZU said: Kama kweli ni Yanga hiyo haiwezekani kuajiriwa Simba, BIG No. Tutamsagia tu Ngoja tuchimbue zaidi. Mfano wa banks ni irrelevant kabisa Click to expand... Huyo ni Simba mwenzenu, ila hata angekkuwa Yanga kuna shida gani? Kikubwa ni anatumia taaluma yake
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Nov 25, 2024 #42 NASHANGAA WATU KUCHELEWA KUJUA KWAMBA YANGA NI TIMU YA KILA MTU AFRIKA
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Nov 25, 2024 #43 moudgulf said: Baba kuwa na mapenzi na timu furani haiwezi kuwa sababu ya mwanawe kupenda timu hiyo. Kwa mfano Baba yake Jamuhuri Kiwelu alikuwa mwananchama mwandamizi wa Yanga, lakini Jamuhuri mwenyewe humuelezi kitu akakuelewa kuhusu Simba. Click to expand... Mfuatilie vizuri zubeda kule twitter
moudgulf said: Baba kuwa na mapenzi na timu furani haiwezi kuwa sababu ya mwanawe kupenda timu hiyo. Kwa mfano Baba yake Jamuhuri Kiwelu alikuwa mwananchama mwandamizi wa Yanga, lakini Jamuhuri mwenyewe humuelezi kitu akakuelewa kuhusu Simba. Click to expand... Mfuatilie vizuri zubeda kule twitter
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Nov 25, 2024 #44 dem boy said: NASHANGAA WATU KUCHELEWA KUJUA KWAMBA YANGA NI TIMU YA KILA MTU AFRIKA Click to expand... Yanga hii afirika?
dem boy said: NASHANGAA WATU KUCHELEWA KUJUA KWAMBA YANGA NI TIMU YA KILA MTU AFRIKA Click to expand... Yanga hii afirika?