Pre GE2025 Je, CHADEMA Inapaswa Kushiriki Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa Bila Tume Huru Ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Washiriki kuna sehemu wananchi watagoma watalinda wenyewe kura, mana hao wateule wa jiwe ni mizigo tupu.
 
Shirikini uchaguzi huku mapigano ya mabadiliko yakiendelea.

Tundu Lissu katika ziara zake za kuimarisha chama na kuamsha wananchi toka usingizini anafanya kazi nzuri sana na anaeleweka vyema sana kwa wananchi..

Hakuna kususa. Tushiriki na sisi wananchi tupo pamoja kwenye mapambano.
 
Akili za mavi hizi
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…