Hapa nakubaliana nawewe kwa asilimia zoteCCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!
wewe ebu acha kuongea PUMBA mkuu.....ni wananchi wepi hao wa kuingia barabarani????wangekuwa wanataka kuingia BARABARANI wangesihakuwa wameingia siku nyingi sana.........Ila sisi wananchi tunajiuliza tuingie barabarani kisa nani????Kwahiyo Moi hakuwa na system?? Mobutu je?? Trump system mboba haikumtaka na akapita??? Membe system ilimtaka mbona hakupita???
Mkuu wananchi wakiamua kuingia barabarani kma wenzetu kenya 2001/02 ndio siku CCM itatolewa maana system zilikuwepo ngumu za kina prince metternich au za USSR ambazo zilipanga viongozi wa nchi za eastern europe kisiri sana ila zilianguka ndani ya siku moja tu sababu ya nguvu ya umma.
To summarise CCM ipo kwa sababu watanzania ni waoga ila mngekuwa kenya mngeshakuwa metoka toka 1995
Ccm itatoka ikiwepo tume huru itakuwepo na watanzania watakapoamua kuingia bararabarani maana cjui wapi system wataweza zuia nguvu ya umma kenyans did it Tanzania tutaweza cku moja tukipata agressiveness kma ya wenzetu ila to hell with the system bullshit maana hta system ilimtaka membe kwa taarifa yako sio magufuli
mkuu Paskali, kuongoza nchi siyo rocket science.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali la tathmuni kuihusu Chadema, seriousness take, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Muture Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.
Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.
Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.
CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.
Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.
Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Natafuta group la vijana wa chadema ukawa
Sio chadema wala cuf imefeli ila the thing is about katiba mpya ili vyombo vya usalama/uchaguzi/mahakama visiingiliwe na wanasiasa hilo likiwezekana ndio mje hapa mseme chadema haijakomaa ila kwa mazingira ya sasa hamueleweki maana mnatoa analysis ya kitu kisicho realistic!Pasko tegemea matusi, ila wanaokutukana ni mashahidi walio hai wa failure ya chadema
Kwanini CUF wawe na uwezo wa kutawala Zenj lkn washindwe kutawala Bara. Jambo gani walilolifanya Zenj na kukushawishi kwamba wanaweza kutawala kule? Nionavyo mimi kuhusu Zanzibar wananchi wameichoka CCM na kuonesha dhahiri chuki zao lkn sisi Bara bado tu waoga na kushindwa kuthubutu.Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
nimekupata pasco.. kwenye mpira wa miguu kuna kitu kinaitwa squad depth. siwalaumu CDM kuwa na squard deppth nyembamba ni consequence za mfumo uliopo. hao wachache waliopo opposition wamejitoa hasa. tuwape moyo. wengi haipendi Ccm ila wanaogopa dola itawashughulikia. siku ccm ikianguka ndo utagundua kuwa hata wao si lolote si chochote bila dolaWanabodi,
Hili ni bandiko la swali la tathmuni kuihusu Chadema, seriousness take, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Muture Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.
Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.
Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.
CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.
Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.
Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Kwa kua chama kinaomba nafasi hiyo na pia kinafuata taratibu zote za mfumo wa vyama Duniani mi nadhani kinaweza rudi nyuma enzi za ukoloni nadhani watu km nynyi mlikuwepo ambao walikua wanahofia kujitawala pale nchi ilipokua ktk harakati za kusaka uhuru so tuipe CDM nafasi ya uongozi tuone yaliyomo yamo?Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
This is funny indeed..... ambacho sielewi is CCM perfect kma sio perfect iweje muone chadema hawawezi ongoza??? Nyie mngekuwa mmeperform higher than xpected kma kagme hivi ningeona kweli hakuna haja ya chama mbadala kuingia ikulu.... ssa nyie miaka 50 mmeshindwa kila kitu mnapata wangu nguvu za kusema chadema hawapewi nchi maana hawawezi uongozi je nyie mmeweza??? Kma mmeshindwa basi hamna moral support ya kukataa mbadala apewe nchi!!! Mnanikera sana ccm now whats this ..... eti "mafisadi wa richmond" huku huongelei kina muhongo chenge tibaijuka january wote hao wapiga dili waliojazana ccm.
Umeongea ukweli kuliko maana ya neno ukweli upinzani unatuumiza sana binafsi siipendi ccm lkn upinzani unaninyima haki ya kuitoa ccm madarakani kwa sababu sioni mbadala na haiwezekani nchi kuongozwa bila chama. Wakiimarika na ccm ikaendelea kuboronga upinzani unachukua nchi asubuhi mapema lkn kwa mtindo huu wa kungoja mgombea urais anayekatwa au kufukuzwa ccm watakuwa wasindikizaji milele.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali la tathmuni kuihusu Chadema, seriousness take, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Muture Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.
Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.
Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.
CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.
Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.
Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Mtazamo wangu juu ya mada hii:
Mfumo wa demokrasia nchini sio rafiki kupelekea watu wenye akili timamu,weledi na madhubuti kujiunga frontline waziwazi upinzani.
Mbowe umefika wakati astaafu au awe ni mzee wa chama na apishe mwenyekiti mwingine.
Ndani ya viongozi vijana wa chadema na chama kwa ujumla lazima kuwe na adabu,nidhamu na uweledi wa kutenda mambo,kuongea mambo, ku behave in public, Bungeni na mitandaoni. Hili lingepunguza kesi na kukamatwa kusikokuwa na maana.
Chama kikubali kuleta na kuwashawishi wasomi,weledi na wapenda mabadiliko ya kweli na sio wajanja wajanja wa kukunja brown envelopes waliojaa chadema.
Chama kithamini wazee wenye upeo na kusadia kukipa maarifa.
Umeongea ukweli kuliko maana ya neno ukweli upinzani unatuumiza sana binafsi siipendi ccm lkn upinzani unaninyima haki ya kuitoa ccm madarakani kwa sababu sioni mbadala na haiwezekani nchi kuongozwa bila chama. Wakiimarika na ccm ikaendelea kuboronga upinzani unachukua nchi asubuhi mapema lkn kwa mtindo huu wa kungoja mgombea urais anayekatwa au kufukuzwa ccm watakuwa wasindikizaji milele.
Haingii akilini chama unachokiponda kwa nguvu zote pamoja na viongozi wake lkn wakifukuzwa uanachama mnawadaka hapo hapo mnawapa nafasi za kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwenye chama Je upinzani umekuwa jalala la rejects wa ccm? Hivi mwananchi gani atakubali upuuzi huu?
Mfano lowassa aliwekwa kwenye list nzito ya mafisadi (list of shame)na kutajwa hadharani huku akikashifiwa na viongozi wote wa chadema ghafla kawa kipenzi to the extent ya kupewa nafasi ya kugombea urais kinyume cha katiba yao.
Masha alilamikiwa kwa kuwapiga mabomu alivyokuwa wizara ya mambo ya ndani lkn wananchi wakamkataa mwanza na kung'oa kitasa cha mlango wa ofisi ya mbunge leo amekuwa valuable asset.
Bulaya na seleli wametoka ccm mwaka huohuo na kugombea ubunge upande wa pili.
Sumaye ameshutumiwa na upinzani kwa kuchota m50 npf na kujitwalia ardhi kubwa kubinafsisha mashirika kwa hila leo kapokelewa kwa nderemo na vifijo na kumpa uongozi Mkubwa kwenye chama.
Kingunge mtunga Sera wa ccm mpanga mikakati ya kupambana na wapinzani kwa miaka mingi leo amekuwa mkombozi wa chadema kwa sab maslahi yake yameguswa.
Hao ni wachache nilioamua kuwatumia kutolea mfano kwani wako wengi.
Kwa mtindo huu ccm mnaipa nafasi ya kutawala watakavyo japo wameshafeli.
Mayalla , kitu gani kinafanywa na CCM ambacho CDM haiwezi kukifanya? haina watu wenye uwezo wa kufikiri at least kama wa watu kwenye CCM,. Paskali, haina watu kama akina Mwakyembe, kama Tulia Akison, kama Makonda, ........ and many others!Wanabodi,