Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmuni kuihusu Chadema, seriousness take, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Muture Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.

Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.

Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.

CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.

Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.

Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.

CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.

Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Ijumaa njema Paskali.
Leo nilikuwa katika maandalizi ya kuandika kuhusu wabunge wa ukawa ndani ya bunge.Nilikuwa na nia ya kuangalia ujasiri wao na mapungufu yao katika muenendo mzima wa bunge lakini inabidi niache kwanza ili niungane nawe katika jambo kwa mtizamo tofauti kidogo.
Nakiri ya kuwa mimi ni mpenda mabadiliko pamoja na umri wangu uliosogea na pia mimi ni muumini wa kuwa CCM itaendelea kushinda kwa sababu nyingi tu,za haki na za haramu!!!
Niingie kwenye hoja yako ya CDM kuwa Chama makini cha kushika dola.Ukweli ni kuwa kwa mtizamo wa kibinadamu (ambao hauna ujasiri sana wa kuijua kesho) ni vigumu na kwa sasa uwezo huo haupo.
Kwa nini uwezo huo haupo wakati CDM ina wanachama wa kawaida,wasomi waliobobea?
  1. Vyama vya upinzani vinapigwa vita na vyama dola wazi na kwa siri.Paskali umekiri ndani ya jukwaa hili kuwa baba yako alikuwa afisa usalam na naamini kuna mambo ya kiusalama umekuwa ukiyafuatilia na ni wazi utagundua kuwa vyama hivi viko inflitrated na vyombo vya usalama (kuna mole wengi ndani).Kila vikitaka kunyanyuka mizengwe inaanza ikiwa inaendeshwa na Chama dola na serikali yake (Rejea-uchaguzi 2010-ZZK aliongea na Jack mara ngapi?Rejea Mwigulu na ugaidi wa Lwakatare na mtu anayeitwa Ludovick e.t.c
  2. Katiba-Nchi kama inaongozwa kwa mujibu wa katiba ya wananchi hata mie naweza kuwa Raisi na milango iko wazi kuwajibishwa pale inapotokea.Kwetu mpaka sasa katiba imeangalia zaidi aliyeko madarakani naye anailinda na kuiweka katika mazingira ya kumsaidia yeye na si mwingine.
  3. Uelewa wa wananchi-Hapa ndipo ulipo mzizi.Kwa hulka na uelewa wa Watanzania Myopic na wanaoridhika haraka (Uswahili) ni ndoto kuitoa CCM madarakani kwa sasa.Manung'uniko yote ya sasa yatakwisha miezi michache kabla ya Uchaguzi wakati kila kitu kitakapokuwa kipo.
Naamini kwa sasa CDM kuiondoa CCM bado ni ndoto lakini ni wazi kuna siku CCM itaondoka.Swali la msingi ni kuwa CCM itaondolewa na nani na ni madhara gani ya kuondolewa nchi itapata ikiwa CCM haitaondolewa na vyama vya siasa?
TWENDE KAZI!!
 
Serikali hiyo itakuwa hivi:

Rais:Lowassa au Sumaye
Wazuri Mkuu :Aikael mbowe

Speaker :tundu lisu
Naibu spika :mnyika
Makamu Wa rais :from Zanzibar
Mawaziri
1.halima mdee:
2.waziri Wa habari :Sugu
3.waziri Wa sheria na katiba?
4.waziri Afya ?
5.waziri Wa mambo ya ndani:lema
Nk

Sasa Pima uwezo Wa hao then njoo na comment tuone kama wanaweza kupewa nchi
kwanini tuamini katika chama kimoja kutawala na si serikali shirikishi ambayo kwa nature ya ccm isivyo penda transparency jambo kama hili nivigumu kulifikiria,kwanini hatuamini katika wagombea binafsi,tuondoe nafasi lukuki za kisiasa katika level ya utendaji mfano nafasi za ukuu wa mikoa na wilaya ziwe open vacancy ambazo baadae uidhinishawaji wa mtahiniwa unafanywa na bunge au kamati inayopewa mamlaka na mihimili yote mikuu,kwanini hatufikirii kuwa na mabaraza ya wananchi yenye mamlaka juu yawale wanao wachagua,kwanini hatufikirii kuongeza mhimili mwingine wa nne katika hii mitatu tulionayo
 
Tatizo la watu kama Paschal wanafikiri chama hutawala nchi. Hii siyo kweli hata kidogo. Chama hujibanza tu serikalini. Naomba Paschal na wengine wenye mawazo kama yake waniambie, je, CCM ikiondoka madarakani nini kitakosekana kuendesha nchi? Chukulia mfano Majiji na miji inayoongozwa na upinzani, ni nini kinakosekana kuendesha miji na majiji hayo? Mbona mambo ya serikali yanaenda vizuri tu? Hivyo ndivyo itakavyokuwa hata kwa nchi nzima. Maana nchi ni mkusanyiko wa hii mikoa. Chukulia kwa mfano mkoa wa Arusha na Kilimanjaro ambako CCM haina chake. Mbona kuna maendeleo kuliko Dodoma na Singida ambako CCM imetamalaki? Nijuavyo mimi CCM ikiondoka kikaja chama kingine shughuli zote za serikali zitaendelea kama kawaida. Waajiriwa wa serikali ndio huendesha nchi na siyo waajiriwa wa chama. Hospitalini, majeshini, shuleni, vyuoni, mahakamani, mikoani, wilayani, kwenye halmashauri, bandarini, n.k shughuli zitaendellea kama kawaida.

Nyie akina paschal mliobahatika kwenda shule msipotoshe umma kwamba CCM ikitoka nchi itashindwa kujiendesha. Ni uongo kabisa. Sasa naomba Paschal useme ni kitu gani nchi itakosa CCM ikitoka madarakani? Muulize hata Wakili msomi Petro Mselewa atakuelewesha na najua hatakutoza "consultation fee".
 
Dr Slaa kama sikosei alikua anahimiza sana upinzani uwe na wabunge wengi ili kukabiliana na CCM kuanzia bungeni.
Nadhani ndio ilikua mwanzo mzuri wa kuwa na upinzani imara
je waliokuwepo sasa wanafanya cha maana....??
 
Kwa sasa bado.
Tamaa yao ya Kuongoza Nchi Ni kubwa sana na wako tayari kwa gharama yoyote kuliko maandalizi ya Kuongoza nchi. Mfano ni aibu mtu umekuwa unajiandaa kuongoza nchi mara ghafla anatokea mtu mwenye nia hiyohiyo kwa malengo yake unampisha na kumshabikia. Au umewaandaa vijana wako wawe wabunge, kesho anatokea mtu wa CCM unamuachia nafasi, keshokutwa anarudi Tena CCM.
Ukichora mstari wa safari ya chadema ni zigizaga yenye hasi na chanya.
 
Tatizo la watu kama Paschal wanafikiri chama hutawala nchi. Hii siyo kweli hata kidogo. Chama hujibanza tu serikalini. Naomba Paschal na wengine wenye mawazo kama yake waniambie, je, CCM ikiondoka madarakani nini kitakosekana kuendesha nchi? Chukulia mfano Majiji na miji inayoongozwa na upinzani, ni nini kinakosekana kuendesha miji na majiji hayo? Mbona mambo ya serikali yanaenda vizuri tu? Hivyo ndivyo itakavyokuwa hata kwa nchi nzima. Maana nchi ni mkusanyiko wa hii mikoa. Chukulia kwa mfano mkoa wa Arusha na Kilimanjaro ambako CCM haina chake. Mbona kuna maendeleo kuliko Dodoma na Singida ambako CCM imetamalaki? Nijuavyo mimi CCM ikiondoka kikaja chama kingine shughuli zote za serikali zitaendelea kama kawaida. Waajiriwa wa serikali ndio huendesha nchi na siyo waajiriwa wa chama. Hospitalini, majeshini, shuleni, vyuoni, mahakamani, mikoani, wilayani, kwenye halmashauri, bandarini, n.k shughuli zitaendellea kama kawaida.

Nyie akina paschal mliobahatika kwenda shule msipotoshe umma kwamba CCM ikitoka nchi itashindwa kujiendesha. Ni uongo kabisa. Sasa naomba Paschal useme ni kitu gani nchi itakosa CCM ikitoka madarakani? Muulize hata Wakili msomi Petro Mselewa atakuelewesha na najua hatakutoza "consultation fee".
Hongera mkuu umeandika point japo chama kina mchango mkubwa sana kwa maana ya sera zake/ilani.
 
Kwa mimi naweza sema bado upinzani unacheza ngoma ya CCM yani hakuna Ile hoja ya maana ya kusimamia wao nini CCM wamesema wa naibuka hapo hapo
ni kweli usemacho, kazi inatakiwa ifanywe......?
 
Babati: Hakuna sera zinazotungwa na chama ili kuongoza nchi. Chama hutengeneza sera ambazo chama huita ilani kwa msaada wa wataalamu mbalimbali ambao siyo lazima wawe wana chama wa chama chochote. Hawa ni wataalamu wa sera tu, na wengi wao ni waajiriwa wa serikali au mashirika mbalimbali. Kwa hiyo mchango wa chama cha siasa kuongoza serikali ni mdogo sana!
Kwa mfano, zile hotuba za bajeti zinazosomwa na mawaziri hazijaandaliwa na chama tawala. Ni wataalamu wa wizara husika na siyo wana CCM.
 
Kama taifa hatuna Road Map.... Hatuna Dira, ni ngumu sana kuweza kuongoza vizuri... Mfano
France wamepata Rais alie toka chama kidogo sana, ila inch inamisingi yake..... Hivyo anaweza ongoza vizuri
 
ni kweli usemacho, kazi inatakiwa ifanywe......?
Tena kubwa kweli kweli kuwe na hoja ya kusimamia na Uchaguzi ujao wajipange zaidi kwa wabunge kwa kusema ukweli huku kwenye uraisi wa subiri kidogo kutokana na nature ya huyu mtu waongeze wabunge ambao wataweza kujengea uhimara kuanzia halmashauri watakazopata ili huo wa 2025 iwe mteremko tu
 
Pascal Mayalla my Brother!!!

To take down CCM requires more than credibility and maturity.
First, we need a credible general election which is transparent, free and fair.
Hence, to attain the latter, we need a brand new independent electoral commission.
Then, with fair-minded, we can start to debate and discuss political parties in a serious note.
Otherwise, it's not fair to question the political fate of Chadema nor the opposition coalition UKAWA based on credibility and maturity alone.

who is supposed to bring that fair electoral commission??
 
Back
Top Bottom