Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Hapa nakubaliana nawewe kwa asilimia zote
 
w
wewe ebu acha kuongea PUMBA mkuu.....ni wananchi wepi hao wa kuingia barabarani????wangekuwa wanataka kuingia BARABARANI wangesihakuwa wameingia siku nyingi sana.........Ila sisi wananchi tunajiuliza tuingie barabarani kisa nani????
 

Endelea kusubiri watanzania waingie Barabarani...nakuhakikishia utazeeka na vitukuu vyako vitazeeka hilo halitatokea

Watanzania hatujalelewa kwa utamaduni huo

Ninyi msipokubali kubadilika na kujirekebisha hamtakaa mpate dola.......

Unadhani Tume huru inakuja kama upepo..Tume huru inadaiwa..tena kwa strategy madhubuti,....na kwa kupata support ya mfumo......sasa wewe hcho chama chako CHADEMA kinafanya nini kuhusu tume huru?

Muwe mnasikiliza..wengineo sisi tunawaambia
 
mkuu Paskali, kuongoza nchi siyo rocket science.
tuache hilo.
nina tuswali tudogo twa kichokozi:
hivi mtukufu mkuu wa nchi kutumia lugha mbofumbofu ndiyo maturity yenyewe?
au spika wa bunge tukufu kucharaza wenzie bakora, ndiyo maturity?
au gavana kuvamia watu kwa kutumia jeshi kisa shilawadu, ndiyo ku-mature huko?
 
Pasko tegemea matusi, ila wanaokutukana ni mashahidi walio hai wa failure ya chadema
Sio chadema wala cuf imefeli ila the thing is about katiba mpya ili vyombo vya usalama/uchaguzi/mahakama visiingiliwe na wanasiasa hilo likiwezekana ndio mje hapa mseme chadema haijakomaa ila kwa mazingira ya sasa hamueleweki maana mnatoa analysis ya kitu kisicho realistic!

Kukomaa tumekomaa na ndio maana either mnaiba au mnafuta matokeo no wonder anasema hapa kuwa CUF imekomaa ila anapata kigugumizi kusema kwanni "system" haiwapi nchi!!! Ssa kma CUF imekomaa kipi kinafamya system wasiwape nchi?? Hio inaonyesha thr is no such thing as SYSTEM zaidi ''SYSTECCM'' yaani hiyo ipo kwa ajiki ya ccm no matter upinzani umekomaa or not so kwahyo hoja yenu haina mashiko kabisa

Whether upinxani ukomae usikomae kma katiba mpya ya kutofautisha vyombo hivi na vyma vya siada haijaletwa then upinzani hautawahi kuingia ikulu Unless waingie barabarani
 
Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.
Kwanini CUF wawe na uwezo wa kutawala Zenj lkn washindwe kutawala Bara. Jambo gani walilolifanya Zenj na kukushawishi kwamba wanaweza kutawala kule? Nionavyo mimi kuhusu Zanzibar wananchi wameichoka CCM na kuonesha dhahiri chuki zao lkn sisi Bara bado tu waoga na kushindwa kuthubutu.
 
nimekupata pasco.. kwenye mpira wa miguu kuna kitu kinaitwa squad depth. siwalaumu CDM kuwa na squard deppth nyembamba ni consequence za mfumo uliopo. hao wachache waliopo opposition wamejitoa hasa. tuwape moyo. wengi haipendi Ccm ila wanaogopa dola itawashughulikia. siku ccm ikianguka ndo utagundua kuwa hata wao si lolote si chochote bila dola
 
Upinzani bongo nikichekesho

baada ya kupitia vuguvugu la kuhitaji mabadiliko kwa wananchi wengi 2015 nilijua sasa vyama vya upinzani muda si mwingi utachukua nchi

Niliamini agenda ya kwanza ya wapinzani baada ya uchaguzi itakua kuanzisha vuguvugu la kudai Tume huru ya uchanguzi na kurekibisha baadhi ya vifungu vya katiba kama cha matokeo ya urais yakitangwaza hayatakiwi kuhojiwa popote .maana wapinzani wetu hua wanalia lia kila siku kuibiwa kura tangu 95

Lakini chakushangaza upinzani wasiku hizi umekua wakudandia matukio kama ya kina NAPE,ROMA,GWAJIMA,BASHITE ambayo hayana umuhimu wowote yakuwafanya wao washike dora.

Ikifika 2019 au 2020 ndo utaanza kuona wakilalamika.muda wote mlikuwa wapi?

hii single ya kuibiwa kura tumeshaichoka,

Na hapo ndipo nilipoamini bongo hakuna upinzani ni kupotezeana muda tu

Naamini 2020 MAGUFULI atashinda kwa 85% iwe jua iwe nvua

Kupewa nchi wapinzani naamini mpaka CCM waamue au kuwe kunamsukumo mkubwa toka MAGHARIBI(U.S.A)

Upinzani bongo bado sana,
 
Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.
Kwa kua chama kinaomba nafasi hiyo na pia kinafuata taratibu zote za mfumo wa vyama Duniani mi nadhani kinaweza rudi nyuma enzi za ukoloni nadhani watu km nynyi mlikuwepo ambao walikua wanahofia kujitawala pale nchi ilipokua ktk harakati za kusaka uhuru so tuipe CDM nafasi ya uongozi tuone yaliyomo yamo?
 

Hili nalo ni kosa lingine mnalofanya

kwamba kwa sababu CCM wanamakosa mengi..kwa hiyo mnajustify makosa yenu....Ninyi kama alternative Party mnapaswa kuwa Perfect.

Mnapaswa kuonesha mko tofauti...Kama hamuoneshi tofauti yoyote...sasa mpewe ili mfanye nini? Si bora tuwaache hawa tunaowajua.

Unajua....Haihitaji akili nyingi sana kuliona hili...Watanzania wanataka Changes...hawataki vurugu...lakini CHADEMA mmeshindwa kuzibeba hizo ndoto za watanzania

Na watanzania sio wajinga..Watawaadhibu Big Time.Subiri 2019 Utaniambia..Hitimisho ni 2020....

Tumewapa mapendekezo mengi sana ili muweze kubadilika..Hamtaki...sasa subirini muadhibiwe
 
Sijaona viongozi Tz wote ni vilaza
Hakuna Ccm wala upinzani yani tunongizwa na nyumbu.... Kuanzia uhuru mpaka leo na karne zijazo...
 
Umeongea ukweli kuliko maana ya neno ukweli upinzani unatuumiza sana binafsi siipendi ccm lkn upinzani unaninyima haki ya kuitoa ccm madarakani kwa sababu sioni mbadala na haiwezekani nchi kuongozwa bila chama. Wakiimarika na ccm ikaendelea kuboronga upinzani unachukua nchi asubuhi mapema lkn kwa mtindo huu wa kungoja mgombea urais anayekatwa au kufukuzwa ccm watakuwa wasindikizaji milele.

Haingii akilini chama unachokiponda kwa nguvu zote pamoja na viongozi wake lkn wakifukuzwa uanachama mnawadaka hapo hapo mnawapa nafasi za kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwenye chama Je upinzani umekuwa jalala la rejects wa ccm? Hivi mwananchi gani atakubali upuuzi huu?

Mfano lowassa aliwekwa kwenye list nzito ya mafisadi (list of shame)na kutajwa hadharani huku akikashifiwa na viongozi wote wa chadema ghafla kawa kipenzi to the extent ya kupewa nafasi ya kugombea urais kinyume cha katiba yao.

Masha alilamikiwa kwa kuwapiga mabomu alivyokuwa wizara ya mambo ya ndani lkn wananchi wakamkataa mwanza na kung'oa kitasa cha mlango wa ofisi ya mbunge leo amekuwa valuable asset.

Bulaya na seleli wametoka ccm mwaka huohuo na kugombea ubunge upande wa pili.

Sumaye ameshutumiwa na upinzani kwa kuchota m50 npf na kujitwalia ardhi kubwa kubinafsisha mashirika kwa hila leo kapokelewa kwa nderemo na vifijo na kumpa uongozi Mkubwa kwenye chama.

Kingunge mtunga Sera wa ccm mpanga mikakati ya kupambana na wapinzani kwa miaka mingi leo amekuwa mkombozi wa chadema kwa sab maslahi yake yameguswa.
Hao ni wachache nilioamua kuwatumia kutolea mfano kwani wako wengi.

Kwa mtindo huu ccm mnaipa nafasi ya kutawala watakavyo japo wameshafeli.
 

great
 

great
 
Mayalla , kitu gani kinafanywa na CCM ambacho CDM haiwezi kukifanya? haina watu wenye uwezo wa kufikiri at least kama wa watu kwenye CCM,. Paskali, haina watu kama akina Mwakyembe, kama Tulia Akison, kama Makonda, ........ and many others!
 
Pascal Mayalla my Brother!!!

To take down CCM requires more than credibility and maturity.
First, we need a credible general election which is transparent, free and fair.
Hence, to attain the latter, we need a brand new independent electoral commission.
Then, with fair-minded, we can start to debate and discuss political parties in a serious note.
Otherwise, it's not fair to question the political fate of Chadema nor the opposition coalition UKAWA based on credibility and maturity alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…