Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

Me nazani ili swali watu watabishana mpaka asubuhi ila na jaribu kujiuliza maswali kazaa nahisi yanaweza kutupa njia?
chama kinachopewa nchi kina kazi gani?
kwani chama kinaenda kufanya kila kitu chenyewe?
Nadhani tutachelewa sana kama tunataka kuona kama vile chama ndo kitaenda kuwa jeshi chama kitaenda kuwa dr na kila kitu,na hiki ndo kitu ambacho ccm wanawa aminisha watu!!
NCHI INAENDESHWA NA WATALAM WAKISIMAMIWA NA SERIKARI ILIYO CHINI YA CHAMA
Tunahitaji tufike sehemu tuwe na kiongozi atae ruhusu wataalamu wa fani mbali mbali kuisaidia nchi kwa taaluma zao na si nchi iendeshwe kwa porojo za wana siasa kama tunavyo fanya sasa na kama atutapata mtu wa hivyo tanzania maendeleo kwetu ni ndoto,na sikulazimishi kuamiani!!
Niliambiwa nisipende kusikiliza maneno na ushauri wa mwendawazimu.Sorry!
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmini kuihusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.

Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.

Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.

CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.

Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.

Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.

CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.

Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa?

Mhu! Criteria ya kupima 'is it credible, is it serious, is it mature...' ilianza kutumika lini na kwa chama gani?
 
Mm si mwana ccm ila sijawahi kuinga mkono cdm kutokana na kukiona chama ambacho hakina msimamo na kuenda tofauti na yale wanayoyahubiri

Kwa mf baadhi ya chama kimeshawahi kutuaminisha kuwa baadhi ya watu fulani ni mafisadi ila walipohamia kwenye vyama vyao wakawasafisha kwa lugha nyepesi tu eti kama ni mafisadi bac serikali iwashitaki

Pia nakiona kama chama ambacho kinahodhiwa na watu wachache, yaani naona kama baadhi ya wanachama wanapitishwa bila misingi ya kidemokrasia tofauti na wanavyohubiri wao wapenda demokrasia meanwhile baadhi ya wanachama wakionekana kuhoji ama kutaka kugombea nafasi za juu wanafanyiwa zwengwe

Watz tunahitaji mabadiliko ila wa kuyaleta hawapo labda waanze upya na kurudisha imani kwa watu wote
 
  • Thanks
Reactions: nao
Fubusa asingepigwa chini kama hiyo support ingekuwepo.
Zitto aliharibu sana huku maana hakuna alilolifanya kabisa kigoma kaskazini ilifanya kampeni zetu ziwe ngumu sana.... pia fubusa alikuwa na skendo za kuchukua viwanja na mashamba ya watu hku kwetu ndio maana ccm wakaifanya propaganda kutumaliza but bado wananchi wana imani sana upinzani na mikutano ikirudishwa tutaendelea na uhamasishaji come 2020 jimbo tutalirudisha hopefully
 
Mkuu hebu acha kuongea nadharia basi..Wananchi wa nchi gani hao? Tanzania? Watanzania hawajalelewa katika utamaduni huo....Na hata kama itatokea wafanye hivyo..Ni baada ya kukiamini chama kilicho makini na kuamini kuwa kinaweza kuwaletea maisha bora......na chama hicho sio CHADEMA kwa sasa ...kwa sababu CHADEMA imeshindwa kushawishi wananchi..achilia mbali system....ndio maana haitakaa ipewe kura za kuchukua dola....kwa lugha nyingine system ipo kulinda maslahi ya nchi.....na maslahi ya nchi lazima yalindwe kwa namna yoyote ile.

Unadhani katiba mpya au tume huru inakuja kama zawadi?
Mkuu jibu basi je wananchi wakiingia barabarani system inaweza zuia kuachia nchi kwa upinzani?? Jibu hilo tu??
 
Naamini hata wao ukweli wanaujua ..

Chadema hakina uwezo wa kuongoza nchi .. Chadema ni Saccos ya watu flani flani ... Watuwezi kuwakabidhi nchi kwa wapiga dili
Duh chadema hawawezi kuongoza??? Je ccm wameweza ??? Kma ccm hawajaweza why upinzani muujudge??? It doesnt make sense bora kagame ntamuelewa sio ccm hii maana miaka 50 imetuletea umaskini na ujinga tu

Eti ccm imeweza??
 
Mkuu jibu basi je wananchi wakiingia barabarani system inaweza zuia kuachia nchi kwa upinzani?? Jibu hilo tu??[/QUOTE

jibu ni ndio...sehemu zote unapoona kama wananchi ndio wameandamana kutoa watawala..in reality kuna support ya mfumo
 
Kma jibu ni ndio ssa huo mfumo mnadau vp ndio unaweka rais kumbe wana limits??? Then muache upotoshaji ukweli ni kwamba kwa siasa za chama dola SYSTEM ipo kulinda matakwa yake haijalishi upinzani umekomaa or not ila kwa nchi zisizo na chama dola mfano zambia,kenya n.k SYSTEM ndio huwa neutral!!!!!

Ukweli ni kwamba hata chadema nzima wawe malaika hata siku moja SYSTEM haitokubali nchi iondoke kwa ccm....... so msitulishe propaganda

Nachojua ccm itatoka siku wapinzani na wananchi wakiwa agressive yaani mbwai mbwai kma kina odinga au machar hapo hta iwe SYSTEM imezuia bado ikulu ccm wataachia tu ila not otherwise kma mnavyotaka kutuaminisha
 
Pascal umetoa mada nzuri sana, hata mimi niliamini sana CHADEMA kuwa ni chama makini kabla ya 2015. Na ndio maana nikawa mfuasi wao. Baada kumpokea Edo na kumpandisha kupeperusha bendera ya CHADEMA, nilitafakari kwa kina mno kwa kujiuliza hivi kwa miaka 20 ya upinzani kweli CHADEMA wamekosa mtu wa kumweka mpaka kumpokea mtu ambae sisi wenyewe tunamwimba fisadi kwa miaka zaidi ya nane, nikaona viongozi wakuwa hawana maono na dhamira za dhati au kuna kitu sio cha kawaida ambacho kiliwanufaisha wachache nikaachana nao. Hivyo kiujumla upinzani Tanzania bado sana, hivi vyama vya siasa ni kama SACCOS za watu. Ukiangalia hata uchanguzi wa juzi unawaleta wagombea kwa majaribio walipochaguliwa wanalalamika eti dhaifu hii inachekesha sana.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmini kuihusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.

Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.

Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.

CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.

Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.

Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.

CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.

Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa?

In all seriousness, this guy who goes by the alias of Mayala, is making a mockery of himself. How can you expect CHADEMA to win an election under the current constitution? And let's make an hypothetical assumption that CHADEMA happened to win the election, do you think Magufuli and his supporters would agree to step down from the throne? On the other hand, how many times have the elections in Zanzibar been rigged? If CCM was capable of stealing the election in Zanzibar what made you think they wouldn't do the same in the mainland? Bearing in mind that we have a leader who has zero regard for the rule law. To put it bluntly, he is governing with an iron fist. He has used state apparatus to stifle oppositions by disrupting their rallies and worse of all arrested their leaders.

I vehemently disagree with the author's assertion that " CHADEMA is not matured enough to rule the country." This remark beg the following question, CCM has been in power since 1977, what has CCM accomplished with their maturity? As we speak, many people in rural areas don't have access healthcare and clean water! Are these problems the products of "maturity?'
 
chadema hawana uwezo wa kuiondoa ccm kwa sababu wamekosa mikakati wanafikiri watanzania ni wajinga.Chadema waliaminika sana pale walipokuja na ajenda ya ufisadi ila walifanya kosa kubwa la kisiasa pale walipomchukua mtuhumiwa na kumfanya mgombea wao huku wakikana maneno yao.
pia chadema ama imeshindwa kuandaa makada wao au haiamini makada wao na kubaki kusubiri makapi ya ccm ili kugombea kwenye nafasi mbalimbali ni heri tuendelee kuichagua ccm kuliko chadema ambao wanachukua makombo ya ccm na kutuambia wanatuletea mabadiliko
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wachache tu ndio wataokuelewa, wale wazee wa mihemko lazima povu liwatoke hapa.
 
Chadema ni chama kilichoshindwa, kila move wanayotengeneza ni failure ya hatari. Imagine yule Secretary wa chama(sisemi ni mtu mbaya, lakini hana influence kwenye siasa), ndio aina ya viongozi walio nao.

Lakini pia kwa mfumo uliowekwa na ccm, bila kubadili tume ya uchaguzi, wala tusijisumbue, hawa jamaa wataiongoza nchi hadi wachoke, lakini pia kwa jinsi tulivyo sisi wananchi, cowardice ooh.
 
Chama tawala kwani kina watu wenye miguu sita na wenye kufikiri kwa kutumia mgongo Mpaka wanachadema wakose sifa ya kuongoza nchi?

Acha maneno kijana ili mradi chama kina wanadamu basi ujue Mungu hana ubaguzi kiasi hicho na watu wote kwake ni sawa bila kuangalia vyama vyao. Kielelezo kizuri ni bunge.
Au jiulize. Je katika majimbo wanachadema wanawaongoza warundi mpaka washindwe kuongoza nchi?
 
Maswali unayouliza na hoja unazotoa zinatumiwa mara kwa mara kuhalalisha vyama kongwe na kandamizi kubaki madarakani. Utasikia wanasema "wapinzani hawana uzoefu wa kuongoza nchi', kisa hawajawahi kutawala. Kwa maneno mengine, watawala wa Afrika wanawaambia wapiga kura kwamba "hata kama nimekuudhi na hunipendi, huna cha kunifanya kwa kuwa mbadala wangu hana uzoefu". As if wao walipoanza kushika madaraka walikuwa na uzoefu au utayari wa kuongoza nchi. Kwani hao wanaotawala sasa hivi, do you think wana uwezo wa kuongoza nchi? Are they serious? Are they credible? Are they capable? 50+ years in power but they still look crude and amateurish to me. Anyway, hakuna mpenda demokrasia anayeweza kuuliza maswali uliyouliza. Hakuna mtu anayeelewa thamani ya multipartism anayeweza kuuliza maswali uliyouliza. Na wa kulaumiwa kwa hali ilivyo ni wananchi wa nchi hii, who are the main losers chama kimoja kinapo dominate milele. Tundu Lissu anapohoji maswala ya Katiba Mpya na Tume Huru za Uchaguzi, wananchi hatumuungi mkono. Tunakaa kimya kabisa kana kwamba hayo mambo hayatuhusu. Badala ya kuhoji utayari wa CDM kushika madaraka, pigania a level playing field and the rest will be history.

Nakuacha na swali: Emanuel Macron na chama chake, alikuwa tayari kuongoza France? Ana succession plan? En Marche! Is it a serious party? Is mature enough? Hata kina wanachama? Tofauti ya Tanzania na France ni nini? Ukomavu, uthubutu, maarifa na ufahamu wa wapiga kura. Wapiga kura wa France are clever. Rhetoric kama ulizoweka kwenye bandiko lako haziwatishi. Ukishika madaraka ukaharibu, they just punish you, bila kujali mbadala wako ni mature au la. Una succession plan au la. Only then multiparty democracy makes sense.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la tathmini kuihusu Chadema, seriousness yake, its abilities and the capabilities. Hivi CHADEMA, inawezo wa kushinda uchaguzi wa 2020?, na hata ikatokea ikashinda, jee inaweza kuendesha nchi?. Is it a Serious Party?, is it Credible?. Is it Organized?, does it have Succession Plan?. Is it Mature Enough Opposition, Kuweza Kukabidhiwa Nchi yetu 2020?!.

Maswali haya ni kufuatia tathmini yangu jinsi Chadema inadeal na baadhi ya issues mbalimbali ikiwemo the current one ya uteuzi wa wawakilishi wake kwenye Bunge la EALA.

Kutawala nchi sio jambo dogo au jambo la mchezo mchezo. Ikulu yetu haipaswi kugaiwa kwa majaribio bali kwa uhakika, tutakaye mkabidhi ikulu yetu ni lazima kwanza atuthibitishie amekomaa, na anawezo, mature enough with the abilities and capabilities, na sio tuu kumpa mtu ikulu yetu kwa kumjaribishia simply kwa sababu tuu CCM imeshindwa hili na lile na baadhi ya watu wameichoka sana CCM!.

CCM inaendelea kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa sio kwa sababu CCM is the best, au CCM imeweza au inauwezo kivile!, no!. CCM imeshindwa na ilishindwa siku nyingi na inaendelea kushindwa, kwa kufanya madudu mengi tuu lakini bado imekuwa ikiendelea kushinda kwa kuchaguliwa mwaka hadi mwaka kwa mazoea tuu kwa sababu, Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM!.

Yaani Tanzania bado hatuna any serious and a credible opposition party ya kuwapa wapiga kura wa Tanzania a choice to choose from, hivyo CCM kujikuta ikiendelea kuchaguliwa na kushinda kwa ku sail through na upepo wa mazoea, kwa sababu ndio the only one iliyopo!, we have no any serious credible choice to choose from, hivyo we have no choice. Matokeo yake ni CCM inashinda kwa easy ride ya mazoea na itaendelea kushinda na kushinda tena na tena mpaka tutakapo pata a credible opposition such that we'll have a choice to choose from!.

Kwa Zanzibar hakuna ubishi kuhusu uwezo wa CUF as a credible opposition kuweza kutawala Zanzibar, lakini kwa upande wa huku Tanzania Bara, bado kabisa hatuna any serious and a credible opposition ya kuiondoa CCM na kuikabidhi Ikulu yetu.

CHADEMA ndio angalau angalau wameonyesha nia, na kiukweli wakiamua, wanaweza kabisa, ila natatizwa na haya madudu madogo madogo yanayo onyesha all signs za immaturity kwa upande wa Chadema, such that bado ni chama ambacho hakijaonyesha ukomavu wa kutosha enough to convince Tatanzanians kuikabidhi ikulu yetu comes 2020, waipige chini CCM na kuikabidhi Chadema Ikulu yetu ya Magogoni.

Jee kwa maoni yako, unaiona Chadema as a credible, serious opposition, iliyokomaa na kuwa mature enough with the ability and credibility ya kukabidhiwa ikulu yetu 2020?.

Kwa upande wangu, honestly, I don't think, ila kabla sijasema why I don't think and what should we do, naomba kupata mawazo yako, assuming uchaguzi wa Tanzania utaendeshwa kwa uhuru na haki, na chama kitakacho shinda kimeshinda kwa haki, Jee Chadema hata kikishinda, kinauwezo?. Kimeonyesha uwezo wa utayari wa kutawala nchi endapo kitashinda uchaguzi 2020?. Ila kabla hata hakijashinda huo uchaguzi wa 2020, kwa Chadema hii tunayoiona sasa, jee inao huo uwezo wa kushinda?.

Na hata tukiachana na udhaifu wa upinzani imara, everything has it's limits, suppose CCM imewafikisha Watanzania at their limits wakaamua sasa imetosha, they've had enough of CCM and now they are fed up hivyo kuamua liwalo na liwe, wakaipiga chini CCM kwenye sanduku la kura na kuichagua Chadema, jee CCM itakubali kuachia?. Can you just imagine mtu aliyepo Ikulu kukabidhi madaraka sijui kwa nani hiyo 2020, is it possible?.
Kuna mtu yoyote ameishawahi maandalizi yoyote ya succession plan ya serikali, vyombo vyetu vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama kukitumikia chama kingine chochote nje ya CCM?.

Kwanza tuu hata ikatokea Watanzania wengi zaidi wakaichoka CCM na kuipiga chini kwenye sanduku la kura, jee huyo mshindi halali atatangazwa?!. Au inawezekana zoezi zima la uchaguzi wa vyama vingi ni kwenye ubunge tuu na udiwani, lakini kwenye urais ni igizo tuu la uchaguzi?!.

Nawatakia Furahi Dai Njema.
Paskali.
Rejea.
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! - jamiiforums.com
CHADEMA: Tujadili Utayari wa Kutawala Nchi 2015 | Page 7 ...
Kuelekea 2020: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Kuelekea 2020: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...
CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2020, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi ...
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision ...
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye ...
Watanzania ni ignorants au tumelogwa?
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Hukuuliza ila umejijibu ww mwenyewe,na unawezaje kimsemea mtu eti anaweza hawezi!!hivi ccm so wameza zaidi ya maumivu kwa wananchi na keki ya nchi kugawanwa na wachache?kwa akili yako huo ndo uongozi? Cdm kwenye uchaguzi huu wa EAL walipeleka wagombea wa2 wenye uwezo wa hali ya juu kabisa katika uwakilishi tena ki mataifa wakaleta u upumbavu kwa kuwa kataa hawakuwa wawakilishi wa cdm bali taifa,haya leo wameleta 6 wameacha wenye uelewa wa juu wanachukua wale wadada hivi kwa akili yako japo kidogo unaweza sema cdm haiwezi kuongoza? Eti usipika tu wa EAL wanataka kimbisa see nfo wanafanya ujinga badara ya msrahi ya taifa hata siku moja huwezi linganisha cdm na ccm, cdm wako juu sana ki uongozi na niakili kuliko ccm nazani umeelewa.
 
Ndo maana nikasema mpaka siku wananchi wawe aggressive kma wakenya!!! Maana zanzibar waliweza ila shida ni udogo wa nchi yao ila kma spirit ile ya waxenji ingekuwa kwa wabara tungekuwa tushaitoa ccm.

Shida wananchi watz bado waoga hawapo agressive kma congo ama kenya lasihivyo tungeongea mengine hapa

Hoja yangu ni kwamba je hyo system au kitengo kinachoamua rais ikitokea wananchi wameingia barabarani kma kenya 2002 watazuia?????
NDIO MAANA NIMEKUULIZA KWA WAKATI ULIOPO.....je hao au sisi wananchi tuingie barabarani kwa ajili ya chama GANI PINZANI???????.....tutaingia barabarani siku tukiwa na UPINZANI UNAOJITAMBUA....si hawa wapuuzi.....
 
Back
Top Bottom