We will seeAligombea ubunge kupitia nccr mageuzi akashindwa au hujui Hilo? Turudi kwenye mada uchaguzi huu ataingia kwenye list ya wagombea wa chadema walioshindwa kwenye uraisi Kama wenzake waliogombea
Waziri wa ulizi lazima apewe ulizi ila ule uliongezwa kwa kuwatisha wazanzibari tu.Uchaguzi gani unaouzungumzia unafanyika Zanzibar? Kwani rais wa zanzibar si keshajulikana? Wapinzani wanapoteza muda wao bure, ni heri wajiepushe na mikutano ya kampeni na watafute ya maana wafanye.
Kwani si sote tumeona namna alivyopokelewa mrithi wa urais zanzibar alipotembelea visiwa vyake hivi karibuni. Sote tumeona namna alivyokuwa analindwa sio lindo la mgombea urais bali ni lindo la rais. Linalosubiriwa zanzibar ni siku sherehe ya kurithishwa madaraka ya urais tu sio uchaguzi.
Watatuweza kweli!?!...Aaah wapiNajua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao.
Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano mkuu wa ACT Wazalendo, natabiri kuwa mazungumzo ya kuachiana kwa nafasi mbalimbali, yanaendelea vizuri sana na yapo mategemeo makubwa sana ya kufikia muafaka kwa vyama hivyo.
Nafahamu pia hakuna mtanzania asiyefahamu nguvu ya kisiasa ya Maalim Seif, kule Zanzibar.
Kwa hiyo itakuwa kwa maslahi mapana ya upinzani wa nchi hii, kuweza kuunganisha nguvu kwa vile vyama makini, ambavyo kwa sasa naviona kuwa ni hivi vyama viwili vya Chadema na ACT Wazalendo, ili kuwezesha wasizigawe kura hizo kwa hao wagombea.
Nayatakia kila la kheri mazungumzo hayo yanayoendelea, ili hatimaye yafikie muafaka kwa maslahi mapana kwa upinzani nchini na naamini yatakuwa ni "maumivu" makubwa sana kwa jamaa zetu wa chama tawala cha CCM, iwapo mazungumzo hayo yatazaa matunda
Ukweli mchungu ,kwi kwi kwi![emoji1787]Waungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa
Tena alieshindwa vibaya sana pamoja na mbwembwe nyingi.Aligombea ubunge kupitia nccr mageuzi akashindwa au hujui Hilo? Turudi kwenye mada uchaguzi huu ataingia kwenye list ya wagombea wa chadema walioshindwa kwenye uraisi Kama wenzake waliogombea
Utapeli wa mchana jua linawakaHata kama wangeachiana vyumba vya kulala. Swali la kujiuliza hivi vyama vina influence gani kwa wananchi? Eti CHADEMA watamuunga mkono Maalim Seif Zanzibar. CHADEMA wanainfluence gani Zanzibar? Maalim Seif anahitaji kweli support ya CHADEMA Zanzibar? Huu si utapeli?
Jina la mtu huwa haliandikwi kwa kuanza na herufi ndogo. Upinzani ni afya na utakuwepo hata baada ya kufa kwako.Waungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa
Umenikumbusha kipindi cha kampeni ulinzi wa Magufuli ulikwa balaa!, komakoma siku anatoka mwanza kwenda chato kupiga kura ,ilikua siku ya j,pili,msafara wake ulikuwa unatembea na layne zote barabarani,hakuna gari ya kupishana na msafara wake.Uchaguzi gani unaouzungumzia unafanyika Zanzibar? Kwani rais wa zanzibar si keshajulikana? Wapinzani wanapoteza muda wao bure, ni heri wajiepushe na mikutano ya kampeni na watafute ya maana wafanye.
Kwani si sote tumeona namna alivyopokelewa mrithi wa urais zanzibar alipotembelea visiwa vyake hivi karibuni. Sote tumeona namna alivyokuwa analindwa sio lindo la mgombea urais bali ni lindo la rais. Linalosubiriwa zanzibar ni siku sherehe ya kurithishwa madaraka ya urais tu sio uchaguzi.
Hamna kitu tembea kifua mbele jiamni kijana nchi iko salama uchaguzi utakuwa huru tena wa haki kabisaMwaka huu itakuwa balaa
Are you serious Mtanzania?Uchaguzi gani unaouzungumzia unafanyika Zanzibar? Kwani rais wa zanzibar si keshajulikana? Wapinzani wanapoteza muda wao bure, ni heri wajiepushe na mikutano ya kampeni na watafute ya maana wafanye.
Kwani si sote tumeona namna alivyopokelewa mrithi wa urais zanzibar alipotembelea visiwa vyake hivi karibuni. Sote tumeona namna alivyokuwa analindwa sio lindo la mgombea urais bali ni lindo la rais. Linalosubiriwa zanzibar ni siku sherehe ya kurithishwa madaraka ya urais tu sio uchaguzi.
Sio sasa labda baada ya katiba mpya.Opposition parties in Tanzania need to join forces when the country goes to the polls, to change the course of history and ensure that future generations get the chance to enjoy a brighter life.
[https://s3-eu-west-1]
Waungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa
Nawatakia kila la kheri katika hili; ingawa TAKE MY WORD hakuna mgombea yoyote au yeyote kati hao wote walioteuliwa na vyama vyao kukubali kuachiana nafasi za ngazi ya ueais. Wote wana tamaa ya kufa mtu na wote wanaamini watashinda na kuwa rais wa Tanzania. Hivyo hivyo hata kwenye ngazi ya Ubunge, wote wanataka hiyo RUZUKU kwa kufa na kupona na hapo ndipo KUSHINDWA KWAO KUNAPOANZIA. Subiri uone!Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao.
Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano mkuu wa ACT Wazalendo, natabiri kuwa mazungumzo ya kuachiana kwa nafasi mbalimbali, yanaendelea vizuri sana na yapo mategemeo makubwa sana ya kufikia muafaka kwa vyama hivyo.
Nafahamu pia hakuna mtanzania asiyefahamu nguvu ya kisiasa ya Maalim Seif, kule Zanzibar.
Kwa hiyo itakuwa kwa maslahi mapana ya upinzani wa nchi hii, kuweza kuunganisha nguvu kwa vile vyama makini, ambavyo kwa sasa naviona kuwa ni hivi vyama viwili vya Chadema na ACT Wazalendo, ili kuwezesha wasizigawe kura hizo kwa hao wagombea.
Nayatakia kila la kheri mazungumzo hayo yanayoendelea, ili hatimaye yafikie muafaka kwa maslahi mapana kwa upinzani nchini na naamini yatakuwa ni "maumivu" makubwa sana kwa jamaa zetu wa chama tawala cha CCM, iwapo mazungumzo hayo yatazaa matunda
Siyo vizuri kupost picha ya mjumbe kichwa chini miguu juu......ni kiashiria kibaya ifikapo October🤢🤮
Wewe hujawahi sikia onyo alilolitoa mgombea Urais Tundu Lissu?Yaani Mimi kilio changu ni Tume iliyo Huru na ya Haki.Uchaguzi wa mwaka huu ungependeza!