Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

Waungane wasiungane hawawezi kushinda watamsindikiza magufuli kwenye ushindi wake wa kishindo,wao wataendelea kuitwa wapinzani mpaka kufa kwao,nje na CCM wakukamata dola hajazaliwa
Kwa kauli yako hii,maana yake hata wewe uliletwa bahati mbaya na mama Karibu Sana ,na pia unauwezo wa kumchagulia mume mama yako na kumuozesha!.
Basi nawe jitahidi usipate mimba kwa bahati mbaya kwa tabia yako ya kukaribisha karibisha hovyo wanaume,maana imani yako ipo kwa mwanaume aliyefungua mlango.
 
Are you serious Mtanzania?

Hivi hujui alichokifanya huyo mtu wenu Jecha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015?

Hivi mtu aliyewahenyesha mno katika uchaguzi mkuu wa 2015, ndiyo leo umuite si lolote wala chochote?
Huyo akili zake zina matege Mtu anaye mdhihaki hapo alishawahi kuwa makamo wa raisi wa Zanzibar unawezaje kusema kwamba mtu huyo hana ushawishi !!!!!?
 
mziki wake uskie tu, ni kama mmeo akunywee "alkasusu mujarab"
 
Lazima tumkatae shetani na kazi zake zote
anga pia limemkataa
freemson wamemkataa
Ndumba zimeexpire
wakulima wamemkataa
wafanyabiashara wamemkataa
wafanyakazi wamemkataa
viongozi wa dini wamemkataa
China wamemkataa
USA,Europe wamemkataa
Mbingu imemkataa
Malaika wamemkataa
amebaki mkiwa avune mapando yake

kutokimbizwa kwa mwenge sababu ya corona sharti la zindiko limekiukwa.Mwenge ndio ulikuwa ukipumbaza akili za watz wakosee kupiga kura sasa akili ziko saafi kabisa watafanya maamuzi ya akili zao na sio za pumbazo.
 
Watatuweza kweli!?!...Aaah wapi
Hatawaunganee!?!....

Upinzani waungane wasiungane ushindi CCM upo pale pale (Bara & Zanzibar)
Kwa lipi jema mliliowatendea watz hadi wakuaminini tena
 
Maalumu ana nguvu gani Zanzibar?
Si angekuwa Rais , miaka yote anaanguka tu
 
Huyu mgombea wa ccm hauziki na hakubaliki kabisa sababu ameumiza wengi wanamsubiria kwenye box wamlipize kisasi,ccm mnayo nafasi ya kubadili mgombea ili kuepusha kwenda na maji.
 
Usingizi wa mchana huo
28 Oct utaafurahi tu
 
Huyo akili zake zina matege Mtu anaye mdhihaki hapo alishawahi kuwa makamo wa raisi wa Zanzibar unawezaje kusema kwamba mtu huyo hana ushawishi !!!!!?
Hao mataga akili yao "wamei-surrender" pale Lumumba πŸ˜€ πŸ˜›
 
Jina la mtu huwa haliandikwi kwa kuanza na herufi ndogo. Upinzani ni afya na utakuwepo hata baada ya kufa kwako.
Upo na utakuwepo na ndio maana wakaitwa wapinzani,Ila sio wa kushinda na kukamata dola labda Karne ijayo waliokuwepo Ni wajasiriasiasa tu
 
eeeh kweli aisee πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Twambie pia kuhusu Bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…