Uchaguzi 2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

eeeh kweli aisee 😂 😂 😂 😂 😂
Vijana wa polepole hao Mkuu, kodi zetu zinatumika vibaya sana. Kununulia wapinzani, kuwalipa ninyi elfu saba saba na kuhudumia maharawa wa mkulu kama akina jocate na wenzake.
 
ulaji huo wizara zisiwe nyingi labda na nane tu
Wizara ya Ulinzi na mambo ya ndani
Wizara ya Viwanda na Biashara
Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa
Wizara ya Sheria na ustawi wa jamii
Wizara ya elimu michezo na utamaduni
Wizara ya Maendeleo ya kilimo ufugaji na Mazingira
Wizara ya fedha
Wizara ya mail asili
....... haya weka mawaziri hapo
 
sijui kwanini nasikia sana furaha nikisikia haya maneno...
 
Mara hii upinzani umejiandaa tofauti na mawazo ya Ccm. Ikitokea wamemuengua mgombea yeyote kwa hila wasitegemee mteremko. Usishangae hata TADEA wakachukua urais.
 
Lissu hajawahi kugombania akashindwa, alishinda u Rais wa Tanganyika Law Society licha ya Mwakyembe akiwa Waziri wa Sheria kumuwekea mapingamizi.
Nakuja nyingi tu toka kwa mawakili wa serikali yao.bila kusau hili
 
Huu mchezo mtamu saaaana
 
Maendeleo sio kondomu Hadi uzame mfukoni,Chato, dodoma na dar es salaam sio tz pekee,vipi mikoani.maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana katika nchi
Mkoa upi hakuna miradi ya chuma Magufuri?
 
Mara hii upinzani umejiandaa tofauti na mawazo ya Ccm. Ikitokea wamemuengua mgombea yeyote kwa hila wasitegemee mteremko. Usishangae hata TADEA wakachukua urais.
Hawa CCM safari hii wametaitiwa kisawasawa!

Ngoja tuone ngoma itakavyochezwa hapo mwezi wa October
 
Vijana wa polepole hao Mkuu, kodi zetu zinatumika vibaya sana. Kununulia wapinzani, kuwalipa ninyi elfu saba saba na kuhudumia maharawa wa mkulu kama akina jocate na wenzake.

wacha weee,
 
Kwani aliekwambia mie CCM nani?

Mimi nazungumza ukweli halisi, wewe unaendelea kuishi kwenye ndoto.Mtakapoamka ndipo mtakapopewa serikali. Hizo Kauli za Maalim Seif zisikushuhulishe, mwisho wa siku yeye mwenyewe huwa ndio anaishia kuwatuliza watu. Yeye kama kiongozi, awe mstari wa mbele katika kutekeleza onyo lake, sio wanaumia wengine yeye kajichimbia sehemu.

Walishasema dhahir shahir, nchi haitolewi kwa makaratasi.

CCM zanzibar bila kulindwa na ya bara hamna kitu. Au hujui siku zote CCM zanzibar inalindwa tu? Hivi unafikiri CCM ichukue bara Zanzibar akae Maalim Seif pana Muungano hapo?
 
Mkoa upi hakuna miradi ya chuma Magufuri?
Mara, Iringa,tabora,kigoma,kagera, Kilimanjaro,tanga,katavi, Lindi,njombe,kwa uchache Chato dodoma na dar sio tz yote, maendeleo ya watu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…