Je CHADEMA nao kuchagua Mgombea Urais na Mgombea Mwenza baada ya uchaguzi wa Mwenyekiti?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

CCM ni chama kiongozi Barani Afrika na ndicho chama ambacho hutoa Dira na mstakabali wa Taifa hili. Ambapo mambo yake mengi yamekuwa kama Dira na muelekeo wa Taifa hili.

Lakini pia vitu vingi sana ambavyo vimekuwa vikifanywa na CCM vimekuwa vikiigwa sana na vyama vya upinzani hapa Nchini na hata nje ya Nchi.ndio maana na sababu ya kuona vyama vingi kutoka nje ya Nchi huleta viongozi wake hapa Nchini kuja kujifunza kwa CCM.

Sasa hapo majuzi CCM kupitia Mkutano Mkuu wake maalumu imeweza kufanya jambo la kihistoria kwa kuchagua na kumpitisha Rais Samia kuwa Mgombea wake katika uchaguzi Mkuu ujao mwishoni mwa Mwaka huu.

Ambapo ni katika hatua hiyo imeshuhudia pia Rais Samia akimpendekeza Balozi DKT Emmanueli Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wake.Hii ni baada ya dkt Philipo Isdori Mpango kuomba kupumzika .

Sasa kwa kuwa upande wa pili wa upinzani kwa chama kikuu cha Upinzani kuna wakutanisha wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho na wajumbe wengine mbalimbali wapo jijini Dar es salaam kwa sasa katika kumchagua mwenyeketi na makamu Mwenyekiti wa chama hicho.

Nilikuwa nauliza je CHADEMA Nao wanaweza wakamaliza shuguli hiyo hii leo? Je na wao wanaweza kuamua kupunguza kazi ya siku za mbele kwa kumpitisha mgombea Urais na mgombea Mwenza hii hii leo?

Ikumbukwe ya kuwa CHADEMA imekuwa ikiiga mambo mengi sana kutoka CCM.lakini pia imekuwa ikiangalia upepo wa CCM. Au wanasubiri mgombea kutoka CCM aende kwao na wampatie kugombea Urais.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
🚮 🚮 🚮
 
Lisu ameshatangaza nia ya kugombea urais, mgombea mwenza ni heche
Hivi unaelewa mfumo wa katiba yetu juu ya mgombea Urais na mgombea Mwenza? Inawezekana vipi mgombea Urais na mgombea Mwenza wakatoka upande mmoja wa muungano?
 
Trash
 
Ainisha sehemu ya katiba inayoweka masharti hayo acha ngonjera za kijinga
 
dumb
 
Utaratibu ufuatao ambao ni wa kikatiba umefuatwa?

Na kama haujafuatwa ujue chama Chako kina matatizo makubwa katika kufuata katiba na hii ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Ccm na Tanzania.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafuata utaratibu wa kikatiba katika kumpata mgombea wa urais na makamu wake kwa mujibu wa Katiba ya CCM na kanuni za uchaguzi za chama. Huu hapa ni muhtasari wa mchakato huo:

1. Kutangaza Nafasi ya Urais

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) hutangaza rasmi kufunguliwa kwa mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya kuwa mgombea wa urais.

2. Wagombea Kuchukua na Kurudisha Fomu

Wanachama wa CCM wenye sifa zinazokubalika kikatiba wanaruhusiwa kuchukua fomu na kurejesha ndani ya muda uliowekwa.

3. Uhakiki na Kuteua Wagombea

Kamati Kuu ya CCM hukutana kufanya uhakiki wa majina ya wagombea wote waliorejesha fomu. Wagombea huchunguzwa ili kuhakikisha wanakidhi matakwa ya katiba ya CCM na ya nchi.

Kamati Kuu huchuja wagombea na kupeleka majina ya watatu bora kwa Halmashauri Kuu ya Taifa.

4. Uchaguzi na Uteuzi wa Mgombea wa Urais

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa hupiga kura kuchagua mmoja kati ya wagombea watatu waliopendekezwa na Kamati Kuu.

Mgombea atakayepata kura nyingi ndiye anayeteuliwa rasmi kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.

5. Uteuzi wa Mgombea Mwenza

Mgombea urais aliyechaguliwa hutoa pendekezo la jina la mgombea mwenza (makamu wa rais) kwa Kamati Kuu.

Kamati Kuu hukubali au kurejesha pendekezo hilo kwa mashauriano zaidi.

6. Kuthibitishwa Rasmi

Mgombea urais na mgombea mwenza hupitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, ambao ndio chombo cha juu kabisa cha maamuzi ya chama.
 
Mgombea uRais wa Chadema alichaguliwa Kwenye Mkutano mkuu wa CCM wakati Wajumbe wote wamesimama kumshangilia Rais Samia YEYE peke yake hakusimama 😂😂
 
Unafahamu uwezo ,mamlaka,nguvu,madaraka na nguvu iliyowekwa mikononi mwa mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kushirikiana na kamati kuu na halmshauri kuu? Hapo vyombo vyote vya maamuzi vilikuwepo na Ndivyo vilivyofanywa maamuzi.

Kwa hiyo Embu acha kuendeleza umbumbumbu wako na ujinga.
 
Ainisha sehemu ya katiba inayoweka masharti hayo acha ngonjera za kijinga
Kweli wewe huna akili kabisa .kwa hiyo hufahamu katiba yetu imeweka wazi kabisa mgombea Urais akitoka upande mmoja wa muungano ni lazima mgombea Mwenza atoke upande wa pili wa muungano?

Sasa kwa kuwa wewe ni mbumbumbu na huna akili basi nakusaidia nenda kasome ibara namba 47(3) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Kama Mimi nimesoma katiba Haina maana kwamba Kila mtu huku ameisoma! Nakufundisha tena unapoleta hoja Ili usionekane Kwamba ni UWT pro! Unafaa ushikamanishe hoja Yako na reference!
 
Back
Top Bottom