Je, Chadema wameachana na ile kaulimbiu " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu"?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena.

Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini?

Je, Chadema haimwamini tena Mungu?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu kauli huwa zinatumika wakati na wakati sio za kudumu. Unakumbuka kauli za siasa ni kilimo, ujamaa na kujitegemea, Tanzania ya viwanda, uchumi wa gas? Hiyo ni mifano halisi tu ya kauli za vipindi. Sijui unakwama wapi mzee mgaya.
 
Leo rais kaomba watanzania tumuombe Mungu juu ya hili janga la korona, wanayoandika bavicha huko ni wazi Mungu sio wa upande wao tena.
 
Sio lazima wakianza na kumaliza na Mungu wapayuke kila mtu asikie ni swala la imani zaidi kuliko maneno
 
Leo rais kaomba watanzania tumube Mungu juu ya hili janga la korona, wanayoandika navicha huko ni wazi Mungu sio wa upande wao tena.

Huyo rais sio mcha Mungu. Mtu mcha Mungu anaonekana kwa vitendo. Au anakukoga na zile mbwembwe za kuigiza kanisa kuwa ni mcha Mungu? Si kila asemaye bwana bwana. Angekuwa mcha Mungu tusingeona kundi la watu wasiojulikana wakitamba kwa backup yake.
 
Huo ni mtazamo wako.
 
Mkuu kauli huwa zinatumika wakati na wakati sio za kudumu. Unakumbuka kauli za siasa ni kilimo, ujamaa na kujitegemea, Tanzania ya viwanda, uchumi wa gas? Hiyo ni mifano halisi tu ya kauli za vipindi. Sijui unakwama wapi mzee mgaya.
Bwashee kama hamuanzi na Mungu sasa mnaanza na nani?!
 
Afrika bana ndio Sababu tuna dharauliwa ,hivi hamna la maana zaidi ya hili la kujadili Kauli !?
 
Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena.

Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini?

Je, Chadema haimwamini tena Mungu?

Maendeleo hayana vyama!
Aliyesema watanzania chapeni kazi msitishike na corona yuko wapi? Nauliza tu.

My life is mine to remember
 
Back
Top Bottom