johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Leo rais kaomba watanzania tumuombe Mungu juu ya hili janga la korona, wanayoandika bavicha huko ni wazi Mungu sio wa upande wao tena.Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena.
Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini?
Je, Chadema haimwamini tena Mungu?
Maendeleo hayana vyama!
Leo rais kaomba watanzania tumube Mungu juu ya hili janga la korona, wanayoandika navicha huko ni wazi Mungu sio wa upande wao tena.
Huo ni mtazamo wako.Huyo rais sio mcha Mungu. Mtu mcha Mungu anaonekana kwa vitendo. Au anakukoga na zile mbwembwe za kuigiza kanisa kuwa ni mcha Mungu? Si kila asemaye bwana bwana. Angekuwa mcha Mungu tusingeona kundi la watu wasiojulikana wakitamba kwa backup yake.
Bwashee kama hamuanzi na Mungu sasa mnaanza na nani?!Mkuu kauli huwa zinatumika wakati na wakati sio za kudumu. Unakumbuka kauli za siasa ni kilimo, ujamaa na kujitegemea, Tanzania ya viwanda, uchumi wa gas? Hiyo ni mifano halisi tu ya kauli za vipindi. Sijui unakwama wapi mzee mgaya.
Kama kuna mungu anayemsikiliza Magu basi siyo Mungu Mwenyezi.Huo ni mtazamo wako.
Ok
Aliyesema watanzania chapeni kazi msitishike na corona yuko wapi? Nauliza tu.Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena.
Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini?
Je, Chadema haimwamini tena Mungu?
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kama hamuanzi na Mungu sasa mnaanza na nani?!
Huo ni mtazamo wako.
OkMungu hamsikilizi ibilisi.