Je? Changamoto Gani ulikutanana nazo baada ya kuajiriwa

Pole sana mkuu kwa changamoto hiyo, je mshahara unaulipwa ni mdogo kulingana na elimu uliyo nayo au ni sawa? Kama upo sawa basi relax ndo serekali na wengine wengi hua wanafurahia iyo ya kutokua na majukumu mengi na magumu.
 
Sasa huoni kodi za wananchii zinapoteaa
 
Wewe hiyo ni Fursa kwako kujikusanya Ili ufanye kazi au mradi unaotaka sababu njaa na matumizi ya msingi umeisha yapatia tiba Sasa fumbua macho au radar zako angalia Fursa zilizopo humo ndani ya unapofanya kazi au nje. Fursa ni kuajiriwa au kuanzisha mradi yako ya fundi umeme
 
1000124417.png
 
Nilianza kazi kwa kada fulani kama wewe ,ilikuwa nimeisomea na kuifanyia kazi kwa ufanisi mkubwa ,All of sudden pakatokea sintonfahamu ,sitaki hata kukumbuka basi nikapelekwa kada nyingine ...Siitaki kabisa .

Hiyo ishu ilikuwa inatuhusu kama watu 10 ,so wenzangu nane walipelekwq sehemu nzuri ,sisi wawili tunapelekwa sehemu ya hovyo ..Baadaye wakatania goli ,mmoja akapelekwa Mbeya na mimi nikabaki Dsm.

Mbaya zaidi ,ile kada yetu waliotuondoka eti wameleta watu wapya wachanga (novice) ,yule mkuu aliyeshiriki anajifanya anatujulia hali kila mara ,nikaona huyu ni mnafiki ngoja nifute mamba yake ..
 
Ila ukikutana nae uwe unamsalimia
 
Back
Top Bottom