Sasa huoni kodi za wananchii zinapoteaaPole sana mkuu kwa changamoto hiyo, je mshahara unaulipwa ni mdogo kulingana na elimu uliyo nayo au ni sawa? Kama upo sawa basi relax ndo serekali na wengine wengi hua wanafurahia iyo ya kutokua na majukumu mengi na magumu.
Oktoba tunatikiTuambie kwanza wewe ni oktoba tunatiki au timu no reform?
Ila ukikutana nae uwe unamsalimiaNilianza kazi kwa kada fulani kama wewe ,ilikuwa nimeisomea na kuifanyia kazi kwa ufanisi mkubwa ,All of sudden pakatokea sintonfahamu ,sitaki hata kukumbuka basi nikapelekwa kada nyingine ...Siitaki kabisa .
Hiyo ishu ilikuwa inatuhusu kama watu 10 ,so wenzangu nane walipelekwq sehemu nzuri ,sisi wawili tunapelekwa sehemu ya hovyo ..Baadaye wakatania goli ,mmoja akapelekwa Mbeya na mimi nikabaki Dsm.
Mbaya zaidi ,ile kada yetu waliotuondoka eti wameleta watu wapya wachanga (novice) ,yule mkuu aliyeshiriki anajifanya anatujulia hali kila mara ,nikaona huyu ni mnafiki ngoja nifute mamba yake ..
Sipendi shobo naye ,hata wafanyakazi wale niliokuwa nao miaka mingi , urafiki ulifia tulivyotawanywa tu.Ila ukikutana nae uwe unamsalimia
Net salary ina afya kabisa hivyoπππ
Anafanya kazi wapi huyu na sisi tutume cv zetu ππNet salary ina afya kabisa hivyoπππ