Je, changamoto ya Tabora United ingeipata Simba sc au Yanga Sc Bodi ya ligi na TFF wangeacha mchezo uendelee?

Je, changamoto ya Tabora United ingeipata Simba sc au Yanga Sc Bodi ya ligi na TFF wangeacha mchezo uendelee?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kutoka EFM: Msemaji wa Tabora United Upendo kasema

"Tumekamilisha malipo ya ya kiasi million hamsini katika suala la kusajili wachezaji na Hilo zoezi tumelifanya asubuhi lakini nashangaa yanakuja majina nane tu Tena ni wachezaji wa benchi kiukweli hata hatuelewi kwa nini imekua hivi?"

Hapo tukumbuke Tabora wameingiza wachezaji nane tu.

NALIA NGWENA kupitia hapa jamii forum kwenye jukwaa pendwa la Michezo nawasilisha swali langu tujadili kwa masilahi mapana ya mpira wetu huu wa magumashi.

TFF na Bodi ya ligi wangefanya Nini endapo hii changamoto ingetokea kwa Simba sc na Yanga Sc?

Imenishangaza sana hii halafu Kuna watu wanaimba na kuisifu ligi yetu kuwa ni ligi Bora hakika kwa hili lililotokea limechafua taswira nzima ya mpira wetu huu wa kuunga unga (Simba na Yanga).
 
a21db46e-f2f4-4a86-a369-35184134c801.jpg
 
Kutoka EFM: Msemaji wa Tabora United Upendo kasema

"Tumekamilisha malipo ya ya kiasi million hamsini katika suala la kusajili wachezaji na Hilo zoezi tumelifanya asubuhi lakini nashangaa yanakuja majina nane tu Tena ni wachezaji wa benchi...
Huu ni uhuni na udhalilishaji wa nchi. Karia & Kasongo must go.
 
Klabu ziheshimu mikataba wanayoingia na wachezaji wao pale wanapo wasajili ili kondoa changomoto za kufungiwa na fifa nq kuibebesha mzigo wa lawama tff
TFF na bodi ya Ligi hawawezi kukwepa lawama. Mechi hii ingeweza kuahirishwa isilete aibu maana TFF walijua Tangu asubuhi timu ina Wachezaji 8 tu.
 
Kutoka EFM: Msemaji wa Tabora United Upendo kasema

"Tumekamilisha malipo ya ya kiasi million hamsini katika suala la kusajili wachezaji na Hilo zoezi tumelifanya asubuhi lakini nashangaa yanakuja majina nane tu Tena ni wachezaji wa benchi kiukweli hata hatuelewi kwa nini imekua hivi?...
Kwani kuna sheria kwa ajili ya Simba na Yanga peke yao?
 
TFF na bodi ya Ligi hawawezi kukwepa lawama. Mechi hii ingeweza kuahirishwa isilete aibu maana TFF walijua Tangu asubuhi timu ina Wachezaji 8 tu.
Kanuni inaruhusu mechi kuendelea kuchezwa ikiwa timu inakuwa na wachezaji 8,hapo hakuna kosa .
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kanuni inaruhusu mechi kuendelea kuchezwa ikiwa timu inakuwa na wachezaji 8,hapo hakuna kosa .
Kuna team wachezaji wake (16) walipata mafua mechi ikaahirishwa wakati walikua na wachezaji (25) ukitoa wale (16) wanabaki (9) (Hawakulazimisha kucheza) ..

... Leo wachezaji (8) wameweza kucheza mechi ila (9) haikuwezekana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Minimum ya wachezaji ni 7
Sasa kama wachezaji walikuwa 8 kwa nini TFF waahirishe mechi?
Kuna team wachezaji wake (16) walipata mafua mechi ikaahirishwa wakati walikua na wachezaji (25) ukitoa wale (16) wanabaki (9) (Hawakulazimisha kucheza) ..

... Leo wachezaji (8) wameweza kucheza mechi ila (9) haikuwezekana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Klabu ziheshimu mikataba wanayoingia na wachezaji wao pale wanapo wasajili ili kondoa changomoto za kufungiwa na fifa nq kuibebesha mzigo wa lawama tff
Kuna team wachezaji wake (16) walipata mafua mechi ikaahirishwa wakati walikua na wachezaji (25) ukitoa wale (16) wanabaki (9) (Hawakulazimisha kucheza) ..

... Leo wachezaji (8) wameweza kucheza mechi ila (9) haikuwezekana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Back
Top Bottom