NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kutoka EFM: Msemaji wa Tabora United Upendo kasema
"Tumekamilisha malipo ya ya kiasi million hamsini katika suala la kusajili wachezaji na Hilo zoezi tumelifanya asubuhi lakini nashangaa yanakuja majina nane tu Tena ni wachezaji wa benchi kiukweli hata hatuelewi kwa nini imekua hivi?"
Hapo tukumbuke Tabora wameingiza wachezaji nane tu.
NALIA NGWENA kupitia hapa jamii forum kwenye jukwaa pendwa la Michezo nawasilisha swali langu tujadili kwa masilahi mapana ya mpira wetu huu wa magumashi.
TFF na Bodi ya ligi wangefanya Nini endapo hii changamoto ingetokea kwa Simba sc na Yanga Sc?
Imenishangaza sana hii halafu Kuna watu wanaimba na kuisifu ligi yetu kuwa ni ligi Bora hakika kwa hili lililotokea limechafua taswira nzima ya mpira wetu huu wa kuunga unga (Simba na Yanga).