BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Sitoshangaa mbona chelsea mbovu ya Di Matteo waliitoa barca wanaojuana wenye izo timu zote sizielewi
Chelsea ina record nzuri kwa barca; ila kama kante fab hazard na morata wakiwa form tutakalisha usihofu ule mziki wa messi tutakuwa waangalifu
Mkuu me timu zote sizielewi iyo chelsea na barca zote hazinivutiiiEndelea tu kuwapa moyo watumia nguvu Wednesday sio mbali, mwenye mpira wake/mfalme Messi anawasubiri kwa hamu sana
Mkuu me timu zote sizielewi iyo chelsea na barca zote hazinivutiii
Kweli kabisa, leo atafanya maajabu ambayo itapelekea Conte kutimuliwa rasmi Chelsea.Chelsea atafanya maajabu..
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!Anachukua mpira Ngolo Kante, anafinya kidogo anamuachia fabregas. Fabregas anapiga pasi ndefu kumtafuta hazard, hazard anakimbiza kuelekea pembeni kisha anapiga cross, Morata anapiga kichwa goooooal!
Dakika ya 87, Chelsea 1 Barcelona 3.
Anachukua mpira Ngolo Kante, anafinya kidogo anamuachia fabregas. Fabregas anapiga pasi ndefu kumtafuta hazard, hazard anakimbiza kuelekea pembeni kisha anapiga cross, Morata anapiga kichwa goooooal!
Dakika ya 87, Chelsea 1 Barcelona 3.
Angalia mpira acha kelele.Mpaka sasa atempt ni 0.Endelea tu kuwapa moyo watumia nguvu Wednesday sio mbali, mwenye mpira wake/mfalme Messi anawasubiri kwa hamu sana
Angalia score board!Angalia mpira acha kelele.Mpaka sasa atempt ni 0.
Angalia mpira acha kelele.Mpaka sasa atempt ni 0.