Je, Chelsea tunaweza fanya makubwa mbele ya Barcelona?

Je, Chelsea tunaweza fanya makubwa mbele ya Barcelona?

Sitoshangaa mbona chelsea mbovu ya Di Matteo waliitoa barca wanaojuana wenye izo timu zote sizielewi

Endelea kuwapa moyo ndugu zako. Naona madrid fans mmehamia chelsea now 😀😀😀 subirini kipondo cha kesho. Roboti wenu atakavyohangaika 😀😀😀
 
Chelsea ina record nzuri kwa barca; ila kama kante fab hazard na morata wakiwa form tutakalisha usihofu ule mziki wa messi tutakuwa waangalifu

Endelea tu kuwapa moyo watumia nguvu Wednesday sio mbali, mwenye mpira wake/mfalme Messi anawasubiri kwa hamu sana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anachukua mpira Ngolo Kante, anafinya kidogo anamuachia fabregas. Fabregas anapiga pasi ndefu kumtafuta hazard, hazard anakimbiza kuelekea pembeni kisha anapiga cross, Morata anapiga kichwa goooooal!

Dakika ya 87, Chelsea 1 Barcelona 3.
 
Makubwa myatoe wapi mkiwa nafasi ya nne na point zenu 53 ktk league ya huko kwenu na mkizingatia mnacheza na watu hatari ambao wanaongoza league kwao na hawajapoteza mechi tangia league ianze?, nyie nendeni mkakamilishe ratiba tu Mzee.
 
Anachukua mpira Ngolo Kante, anafinya kidogo anamuachia fabregas. Fabregas anapiga pasi ndefu kumtafuta hazard, hazard anakimbiza kuelekea pembeni kisha anapiga cross, Morata anapiga kichwa goooooal!

Dakika ya 87, Chelsea 1 Barcelona 3.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!
 
Anachukua mpira Ngolo Kante, anafinya kidogo anamuachia fabregas. Fabregas anapiga pasi ndefu kumtafuta hazard, hazard anakimbiza kuelekea pembeni kisha anapiga cross, Morata anapiga kichwa goooooal!

Dakika ya 87, Chelsea 1 Barcelona 3.

Wazee wa kutumia maguvu 😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Haiwezekani kuwazuia Barca mkuu. Yule Messi akipasiwa mpira hutamwona ILA utamwona vzr sana baadae akiuokota kutoka kwenye nyavu.

Mkuu tuendelee tu kuwashangaa tu ccm LAKINI huyu jamaa mwenye mindevu km miguu ya nzi habari yake ni nyingine.
 
Asee kweli bado mnaamini Barca hawazuiliki?Watanzania mna roho ngumu sana..Barca wenyewe wanaiheshimu sana Chelsea,nashangaa nyie wabongo wapenzi wa Yanga!
 
Endeleeni kuomba maana mna mtihani mkubwa mbele yenu
 
Back
Top Bottom