Hii inaonesha wazi kua baadhi ya movie na series za Hollywood na nchi nyingine kubwa uunda story zao kutokana na vitu halisi vilivyotokea, vinavotokea na ambavo viko njiani kutokea ili kutengeneza movie au series flani.
Hio ya blueprint ni blueprint hivo hivo na sio bluebird