Kama kwenye garimoshi lenu"Ipotiyali", China inaangalia benefits wanapata kitoka kwenu, si hivihivi tu
?? Kununa?
Ww mkenya nenda ukajifunze kuandika kiswahili fasaha haya mambo ya utotoni ya TIYALI BADOOO unataka tukupe jibu gani [emoji41][emoji41][emoji41] Haya TIYALIChina imeshajitoa kuilinda Tanzania kwa lolote lile. Pia haiko tiyali kuiyona nchi yoyote ikituingilia kwenye maswala yetu ya ndani kama taifa.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Swali nije kwa upande wa Kenya China ipo tiyali kuilinda. Tujue kuwa kipindi cha nyuma China ilikuwa imewekeza na kuwa na miradi mingi Libya kuliko nchi yoyote barani Africa. Lakini tuliweza ona America na France wakivamia Libya na China akawapa go ahead yakumtoa Gaddafi pamoja nakuwa na miradi mingi nchini Libya..
Mbona brah brah mingi. Kwa mfano mataifa makubwa kama US na Western counyries wameshindwa gumgoa Bashaar Al Assad wa Syria kutokana na Russia na China kupinga hicho kitendo. IS alipigwa na makomando 6 wa Russia hadi wakapoteana huko Syria.Tayali[emoji777]
Tayari [emoji3581]
Suala la nchi kulinda nchi nyingine hasa nchi za wazungu linategemea na kile anachopata pale, ni sawa na mwanamume azinie na house girl wake atalazimika kutumia jitahida zote ili yule House girl asiondoke kwenye himaya yake. Na hata akiondoka bado atakaekuja atapita pale pale.
Kwani wewe lengo lako unataka tuzungumzie nini mbona una jinsia mbili!Mbona brah brah mingi. Kwa mfano mataifa makubwa kama US na Western counyries wameshindwa gumgoa Bashaar Al Assad wa Syria kutokana na Russia na China kupinga hicho kitendo. IS alipigwa na makomando 6 wa Russia hadi wakapoteana huko Syria.
Kwani libya walikuwa hawa benefit??"Ipotiyali", China inaangalia benefits wanapata kitoka kwenu, si hivihivi tu
HujielewiKwani libya walikuwa hawa benefit??
Mbona brah brah mingi. Kwa mfano mataifa makubwa kama US na Western counyries wameshindwa gumgoa Bashaar Al Assad wa Syria kutokana na Russia na China kupinga hicho kitendo. IS alipigwa na makomando 6 wa Russia hadi wakapoteana huko Syria.
HahahaaaaaHeheheeee hiki ndio kiswahili nyie huringia? Sina LA kusema
China imeshajitoa kuilinda Tanzania kwa lolote lile. Pia haiko tiyali kuiyona nchi yoyote ikituingilia kwenye maswala yetu ya ndani kama taifa.πππππ
Swali nije kwa upande wa Kenya China ipo tiyali kuilinda. Tujue kuwa kipindi cha nyuma China ilikuwa imewekeza na kuwa na miradi mingi Libya kuliko nchi yoyote barani Africa. Lakini tuliweza ona America na France wakivamia Libya na China akawapa go ahead yakumtoa Gaddafi pamoja nakuwa na miradi mingi nchini Libya..
ππππππDaaah umejuaje. Huyo kahaba asikupotezee mudaHahahaaaaa
Jane si unajua mambo ya weekend tenaa, wakati mwingine tunaandika humu tushakunywa ma balimi yetu.
Habari ya Sabato vp lakin
Ndo hivyo. Thus why internation media za propaganda they are based in Kenya....Safi sana. Putin pia anafaa kutoa maoni yake kuusu hao wahuni kutoka nchi za EU!
Ujue kenya inaitwa the "staunchest western ally" in Eastern africa. Sasa wao wakenya ndio wanotumiwa na wazungu kuingilia mataifa mengine.
hii Kali mkuuWw mkenya nenda ukajifunze kuandika kiswahili fasaha haya mambo ya utotoni ya TIYALI BADOOO unataka tukupe jibu gani [emoji41][emoji41][emoji41] Haya TIYALI