China imeshajitoa kuilinda Tanzania kwa lolote lile. Pia haiko tiyali kuiyona nchi yoyote ikituingilia kwenye maswala yetu ya ndani kama taifa.πππππ
Swali nije kwa upande wa Kenya China ipo tiyali kuilinda. Tujue kuwa kipindi cha nyuma China ilikuwa imewekeza na kuwa na miradi mingi Libya kuliko nchi yoyote barani Africa. Lakini tuliweza ona America na France wakivamia Libya na China akawapa go ahead yakumtoa Gaddafi pamoja nakuwa na miradi mingi nchini Libya..