Je China ipo tayari kuilinda Kenya?

Je China ipo tayari kuilinda Kenya?

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
China imeshajitoa kuilinda Tanzania kwa lolote lile. Pia haiko tiyali kuiyona nchi yoyote ikituingilia kwenye maswala yetu ya ndani kama taifa.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Swali nije kwa upande wa Kenya China ipo tiyali kuilinda. Tujue kuwa kipindi cha nyuma China ilikuwa imewekeza na kuwa na miradi mingi Libya kuliko nchi yoyote barani Africa. Lakini tuliweza ona America na France wakivamia Libya na China akawapa go ahead yakumtoa Gaddafi pamoja nakuwa na miradi mingi nchini Libya..
 
Tayali[emoji777]
Tayari [emoji3581]

Suala la nchi kulinda nchi nyingine hasa nchi za wazungu linategemea na kile anachopata pale, ni sawa na mwanamume azinie na house girl wake atalazimika kutumia jitahida zote ili yule House girl asiondoke kwenye himaya yake. Na hata akiondoka bado atakaekuja atapita pale pale.
 
"Tiyali"
Umenikumbusha mbali sana kijijini kwetu tumezoea kutamka hivyo
 
"Ipotiyali", China inaangalia benefits wanapata kitoka kwenu, si hivihivi tu
 
China imeshajitoa kuilinda Tanzania kwa lolote lile. Pia haiko tiyali kuiyona nchi yoyote ikituingilia kwenye maswala yetu ya ndani kama taifa.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Swali nije kwa upande wa Kenya China ipo tiyali kuilinda. Tujue kuwa kipindi cha nyuma China ilikuwa imewekeza na kuwa na miradi mingi Libya kuliko nchi yoyote barani Africa. Lakini tuliweza ona America na France wakivamia Libya na China akawapa go ahead yakumtoa Gaddafi pamoja nakuwa na miradi mingi nchini Libya..

Ww mkenya nenda ukajifunze kuandika kiswahili fasaha haya mambo ya utotoni ya TIYALI BADOOO unataka tukupe jibu gani [emoji41][emoji41][emoji41] Haya TIYALI
 
Tayali[emoji777]
Tayari [emoji3581]

Suala la nchi kulinda nchi nyingine hasa nchi za wazungu linategemea na kile anachopata pale, ni sawa na mwanamume azinie na house girl wake atalazimika kutumia jitahida zote ili yule House girl asiondoke kwenye himaya yake. Na hata akiondoka bado atakaekuja atapita pale pale.
Mbona brah brah mingi. Kwa mfano mataifa makubwa kama US na Western counyries wameshindwa gumgoa Bashaar Al Assad wa Syria kutokana na Russia na China kupinga hicho kitendo. IS alipigwa na makomando 6 wa Russia hadi wakapoteana huko Syria.
 
Kwani wewe lengo lako unataka tuzungumzie nini mbona una jinsia mbili!
 
Vita ya Syria ni biashara ya wakubwa wala sio vita ya kawaida,ni watu tu wameua kufanya biashara zao.

Pili huwezi kulindwa kama hauna kitu.
Mbona brah brah mingi. Kwa mfano mataifa makubwa kama US na Western counyries wameshindwa gumgoa Bashaar Al Assad wa Syria kutokana na Russia na China kupinga hicho kitendo. IS alipigwa na makomando 6 wa Russia hadi wakapoteana huko Syria.
 
Daah! Hivi inakuwaje mtu anaandika hivi na ana uwezo wa kuwa na smartphone?
 
China imeshajitoa kuilinda Tanzania kwa lolote lile. Pia haiko tiyali kuiyona nchi yoyote ikituingilia kwenye maswala yetu ya ndani kama taifa.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Swali nije kwa upande wa Kenya China ipo tiyali kuilinda. Tujue kuwa kipindi cha nyuma China ilikuwa imewekeza na kuwa na miradi mingi Libya kuliko nchi yoyote barani Africa. Lakini tuliweza ona America na France wakivamia Libya na China akawapa go ahead yakumtoa Gaddafi pamoja nakuwa na miradi mingi nchini Libya..

Safi sana. Putin pia anafaa kutoa maoni yake kuusu hao wahuni kutoka nchi za EU!

Ujue kenya inaitwa the "staunchest western ally" in Eastern africa. Sasa wao wakenya ndio wanotumiwa na wazungu kuingilia mataifa mengine.
 
Hahahaaaaa
Jane si unajua mambo ya weekend tenaa, wakati mwingine tunaandika humu tushakunywa ma balimi yetu.
Habari ya Sabato vp lakin
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Daaah umejuaje. Huyo kahaba asikupotezee muda
 
Safi sana. Putin pia anafaa kutoa maoni yake kuusu hao wahuni kutoka nchi za EU!

Ujue kenya inaitwa the "staunchest western ally" in Eastern africa. Sasa wao wakenya ndio wanotumiwa na wazungu kuingilia mataifa mengine.
Ndo hivyo. Thus why internation media za propaganda they are based in Kenya....
 
Eti ipotiyali. [emoji15][emoji15][emoji15] Nikajua hatambui herufi 'r', baadaye kidogo akaongeza na..... acha brah brah. NGAI FAFA!!!
qt0kgmnhg7lg9h6nr8js
 
Back
Top Bottom