Pre GE2025 Je, chini ya utawala wa Rais Samia ndio imevunjwa rekodi ya kukamatwa wapinzani wengi wa kisiasa zaidi ya 500 kwa siku moja?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.

Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.

Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
 
Rais wa kwanza wa JMT Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Sometimes uongo na uzushi ni kujidhalilisha tu
 
Rais wa kwanza wa JMT Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.

Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.
Acheni uzombi ila wakati mnakimbia nchi wote mliufyata sasahivi mmerudi mna hata nguvu ya kuandika humu, dont take humbleness of our president for weakness
 
Rais wa kwanza wa JMT Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.

Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.
Ana karibiana na Hitler....Tumpe maua yake
 
Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
 
Hakuna mtu aliyekulazimisha kuongelea Chadema huna habari leo CCM wako Geita.
 
Mkapa aliwashughulikia Wapemba wakaenda uhamishoni Shimoni Mombasa Kenya

Kwenye Kitabu chake Ben ametubu Dhambi zake kwa baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro na kwa Mungu wa mbinguni

Ulale Unono 😃
Kwahiyo mama anataka kulipiza kisasi
 
Hakuna mtu aliyekulazimisha kuongelea Chadema huna habari leo CCM wako Geita.
Endelea kujidanganya,agenda zenu zimekwisha julikana. After all mimi sio muumini wa siasa lakini napenda maendeleo.
 
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.

Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.

Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.

Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Hakika
 
Samia ana rekodi nyingi sana:

1) Rais wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki

2) Rais wa kwanza mwanamke Duniani kwenye utawala wake kuwakamata, kuwatesa na kuwaweka ndani wanachama na viongozi wengi wa chama kikuu cha upinzani.

3) Rais wa kwanza mwanamke kufanya siasa za hadaa. Alisema anaandaa mchakato wa katiba mpya, baadaye akageuka. Alisema anasimama kwenye 4Rs, matendo yake hayaashirii.

4) Rais mwanamke wa kwanza aliyeingia kwa kupendwa na watu wengi, mpaka kualikwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la chama cha upinzani, na kisha kuchukiwa baada ya muda mfupi baada ya kugundulika kuwa hakuwa na dhamira ya kweli.
 
Pia ni Rais wa kwanza mwanamke kuwa rais bila kupigiwa kura
 
Back
Top Bottom