Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.
Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.
Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe