CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Sasa hivi kuanzia serikali za mitaa,bunge na serikali kuu mko wenyewe tu jee mumefanya nii la maana tofauti na walipokuwepo wapinzani? Au kuongeza deni la njee toka T60 hadi T91 kwa kipindi hiki mko wenyewe tu?Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Kwa hiyo Mama analipa kisasi awabonde Watanganyika hadi wakimbilie Burundi siyo?Mkapa aliwashughulikia Wapemba wakaenda uhamishoni Shimoni Mombasa Kenya
Kwenye Kitabu chake Ben ametubu Dhambi zake kwa baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro na kwa Mungu wa mbinguni
Ulale Unono 😃
Huyo kibwengo hana akili ya kuyajibu maswali hayaMkuu Undetectable uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na wa 2020, CCM ilichukua viti karibu 99%, kwa miaka hii 5, ccm inaongoza kila sehemu, vijijini, mitaa, kata, Halmashauri, Jimboni nk nk, wapinzani wengi wengi wako kando, swali langu kwako ndugu Undetectable kwa miaka hii mitano mmeta maendeleo makubwa kuliko miaka yote?
Vipi hali ya ajira vijana mmewaajili kuliko miaka yote?
Vipi mfumuko wa bei ukoje?
Vipi upatikanaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, madawa matibabu yenye ubora?
Vipi wafanyakazi wa umma mishahara kuongezeka?
ila tumshukuru tu Lisu hakuwa mnafiki alisema kabisa mwanzoni kwamba huyu chief hangaya ni mapema sana kumchekea hanatofauti na mwenda zake tuone namna ya ku-deal nayeRais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa idadi kubwa kiasi hiki kwa wakati mmoja.
Mama ametisha amejiwekea rekodi pengine ya Afrika au hata ya dunia. Mwenye taarifa zaidi ya rekodi hii anaweza kuni prove wrong.
Pia soma=> Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
yule hanatofauti na yezebeliSamia ana rekodi nyingi sana:
1) Rais wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki
2) Rais wa kwanza mwanamke Duniani kwenye utawala wake kuwakamata, kuwatesa na kuwaweka ndani wanachama na viongozi wengi wa chama kikuu cha upinzani.
3) Rais wa kwanza mwanamke kufanya siasa za hadaa. Alisema anaandaa mchakato wa katiba mpya, baadaye akageuka. Alisema anasimama kwenye 4Rs, matendo yake hayaashirii.
4) Rais mwanamke wa kwanza aliyeingia kwa kupendwa na watu wengi, mpaka kualikwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la chama cha upinzani, na kisha kuchukiwa baada ya muda mfupi baada ya kugundulika kuwa hakuwa na dhamira ya kweli.
tupo wakati wa chief hangayaUsilolijuwa ni usiku wa kiza.
Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
Jezebeltupo wakati wa chief hangaya
Maendeleo,mnashindwa na nchi ndigo kama Rwanda.Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
tunapolisi wa hovyo ambao wanaona ni sifa kwao kwa serikali kuwakamata na kuwapiga wapinzaniTuna wapinzani ambao kukamatwa na polisi wanaona ni sifa kwao na kuona ndio kuiva kisiasa kwa kupitia misukosuko, na tuna jeshi la polisi ambalo linapenda kuonyesha mabavu yake kwa kushughlika na wapinzani. Jeshi la polisi limekuwa linawapa umaarufu viongozi wa upinzani kwa kamata kamata ambazo hazina ulazima wowote.
Mwisho wa siku hakuna cha maana kwa wananchi katika hiyo michezo ya polisi na upinzani.
Unaweza kuonesha namna gani Tamasha la vijana duniani na maadhimisho yake kwa CHADEMA kufanyika Mbeya kulikua na misingi halisi ya propaganda? labda kama hujui propaganda maana yake hasa ni nini! Nadhani kama unajua nini maana halisi ya propaganda ni vyema ungehusianisha na kilichoendelea Zanzibar kwamba uvccm WALIWEZA kuadhimisha siku ya vijana huku wakiwa na ulinzi wa vyote vya usalama kana kwamba wao ni sehemu bora zaidi ndani ya JMT inayojinasibisha kuwa ni nchi ya demokrasia inayoheshimu kanuni za demokrasia pamoja na haki za binadamu ambazo pia zimeelezwa katika ahadi za mwanaCCM kuwa binadamu wote ni sawa, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni na haki ya kusikilizwa ikiwa tu havunji sheria za nchi, hali kadhalika kila mtu ana haki ya kujiunga na chama chochote cha kisiasa na uhuru wa kukusanyika na kupata habari. Hivyo basi kama CCCM waliweza kufanya hivyo naamini ilikua ni haki kwa CHADEMA kama walivyofanya ACT wazalendo lakini haki hiyo imepokwa kihuni, kwani hata kuachiwa wameachiwa kihuni bila hata kupewa mashtaka ya jinai au mahakamani, kwani Masauni na Msajili wamekua washtaki na polisi wamehukumu. Hii inaondoa dhana ya utawala bora.Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
Si polisi tu hata hao wapinzani wanaamini kuwa mwanasiasa wa upinzani bila kuwahi kukamatwa na kulala polisi basi bado haujawa mwanasiasa wa upinzani hodari.tunapolisi wa hovyo ambao wanaona ni sifa kwao kwa serikali kuwakamata na kuwapiga wapinzani
Kabisa, Magufuli hakuendekeza hizi sarakasi.Magu ndiye Rais pekee aliyezijua propaganda za hawa wahuni...ndio maana alitaka aue upinzani ili mambo yaende.
Sometimes vyama vya upinzani mnakwamisha maendeleo ya nchi kwa upuuzi wenu,tunashindwa kujadili mambo ya msingi ya kuondoa jamii zetu katika umaskini eti mnataka tuwaongelee ninyi! Ili iweje?
polisi wanaona wasipowakamata na kuwapiga wapinzani ccm watawaona hawatoshi kwa nafazi hizo kwahiyoSi polisi tu hata hao wapinzani wanaamini kuwa mwanasiasa wa upinzani bila kuwahi kukamatwa na kulala polisi basi bado haujawa mwanasiasa wa upinzani hodari.
polisi wanaona wasipowakamata na kuwapiga wapinzani ccm watawaona hawatoshi kwa nafazi hizo kwahiyo lazma waonyeshe bidii kuwashugulikia wapinzania ili nao wapnde madarajaSi polisi tu hata hao wapinzani wanaamini kuwa mwanasiasa wa upinzani bila kuwahi kukamatwa na kulala polisi basi bado haujawa mwanasiasa wa upinzani hodari.
Nchi bila kuwa na viongozi wa vyama vya mageuzi, itakuwa ya KifalmeHao mnaowapigania kabla hawajakamatwa wameleta faida ipi katika nchi zaidi ya kuondoa focus kwa viongozi wenye mipango na maono ya kweli kwa Taifa?