Mkuu
Undetectable uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na wa 2020, CCM ilichukua viti karibu 99%, kwa miaka hii 5, ccm inaongoza kila sehemu, vijijini, mitaa, kata, Halmashauri, Jimboni nk nk, wapinzani wengi wengi wako kando, swali langu kwako ndugu
Undetectable kwa miaka hii mitano mmeta maendeleo makubwa kuliko miaka yote?
Vipi hali ya ajira vijana mmewaajili kuliko miaka yote?
Vipi mfumuko wa bei ukoje?
Vipi upatikanaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, madawa matibabu yenye ubora?
Vipi wafanyakazi wa umma mishahara kuongezeka?