Je choo kilaini ni tatizo kiafya?

Cataliyya

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
781
Reaction score
371
Habari zenu wana jamii forum? hivi je kuenda haja ya choo kilaini ni tatizo au kawaida kiafya? Mimi hua mara nyingi naenda choo kilaini na ni nadra sana napata choo kigumu. Je hili ni tatizo au kawaida kiafya? Kawaida mtu anatakiwa apate choo kilaini au kigumu?
 
Inategemea na misosi unayokula..sijawahi kusikia kama choo laini ni tatizo as long as uharishi
 

Unaposema ' Choo ' hapo unamaanisha nini labda? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Digestion was meant to be a smooth system, so is egestion!

Ukiona unatoa magumu jua something is wrong.
Aina ya vyakula ina influence kubwa juu ya hili.

Matunda na juice husaidia sana kulainisha!
 
Jaribu kutumia Mahindi ya kuchoma Ugali mapera viazi lazima utapata haja ngumu
 
Inategemea na ulaini wake lakini kikubwa isiwe ni kuhara

Kikubwa ni kuwa comfortable wakati unajisaidia na icho ndio kipimo cha kwanza hivyo kama unakuwa hauko comfortable itabidi umuone daktari la sivyo basi ni suala la kawaida ambalo linachangiwa na lifestyle tu
 
hiyo ni ishara kuwa inakunywa maji ya kutosha na chakula kinameng`enyeka vizuri
 
Nakushauri Kula mlo mgum unaeza kuwa Ugali wa kutosha na mboga za majani zisikose, sio unagusa na kuacha, then kula papai moja saiz ya kati, Kula baada ya mlo wa jioni,

Ukikosa papai, Chukua parachichi Ule, then subiri kama dk 15 anza kunywa maji ya kutosha Angalau isiwe chini ya lita moja, fanya hivyo mara kadhaa Utakuja kuleta mrejesho wa "Choo Kigumu"

NAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…