Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 371
Habari zenu wana jamii forum? hivi je kuenda haja ya choo kilaini ni tatizo au kawaida kiafya? Mimi hua mara nyingi naenda choo kilaini na ni nadra sana napata choo kigumu. Je hili ni tatizo au kawaida kiafya? Kawaida mtu anatakiwa apate choo kilaini au kigumu?