Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?


waambie hao, waendelee piga tu kelele humu na hizo Rank zao
 
hamna jpya nyie wa2, yaan kla cku ni kuzungumzia rank za vyuo 2 haswa nyie wa pale kwny mwinuko ndo mnaleta mambo haya kla cku. hapa hatuangalii umesoma wap, 2onyeshe una nn kchwani na umesoma nn (kozi? bulshit
 

wewe hata hiyo GPA NI VILAZA. Wapo watu wana GPA NDOGO NA WANAFANYA WONDER, SO GPA SM TM NAPATA MASHAKA NAYO
 
Mnanikumbusha miaka kumi iliyopita; nikiwa nasoma special school iliyokua ikiongoza kitaifa. Eti tuliambiwa hata wa mwisho class angekua hero mtaani. Nikalala, chaguo la chuoni akachaguliwa mwanafunzi wa kata kabla yangu!
 
UNAPOSIFIA CHUO CHAKO ANGALIA NA KOZI UNAYOSOMA SIO UNAMALIZA UNAENDA SUGUA BENCH KITAAAAAAAAAAAAH :shut-mouth:
 
mtoa mada(sasatele) hizo ni web ranking,kuna ranks nyingi za vyuo kama michezo,academics,mazingira,number of lecturers etc,,,,,,,,au wewe ulikuwa unadhani hizo ni rank za nini? and kijana watu huwa hawa angalii umesoma wapi wana angalia una nini kichwani.....unaweza ukawa umesoma chuo chenye jina zuri na cha kwanza kwenye ranks lakini ukawa mtupu kichwani takecare.......

best regards
 

Unaongea bila evidence, fanya research ya haya uliyoyasema.......kuna mambo mengi sana yanaendelea udsm ambayo kwa mtu wa nje ni ngum kuyajua. UDSM ni think tank ya Taifa na kama hujui hilo sina haja ya kukuhakikishia. External world inaitumia udsm na SUA kama entry point ya kila kitu(chenye link na issue zao) wanachofanya coz walishaatumia vyuo vingine wakaona how shallow they are. Kinachoiharibia udsm ni ile enrollment kubwa (of which hatuna choice coz kila mtu anataka elimu na ni haki yake) na watu wengi wameitumia hii kukishusha chuo. BUT still UDSM ni chuo bora Tanzania na kimestaahili kushika nafasi ya sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…