Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

kweli nimeamini kuna vilaza wengi waliosoma UDSM maana hata huhitaji notes za prof kuzisoma kujua maana ya web ranking. ivi ukiambiwa chuo bora mfano kikawa kweli UDSM ww individual inakusaidia nn? maana kubishana na wanafunzi wa mwaka wa kwanza ni kazi sana. yaan huku mtaani hakuna kinachotumika rather than your GPA. So work hard acheni.

waambie hao, waendelee piga tu kelele humu na hizo Rank zao
 
hamna jpya nyie wa2, yaan kla cku ni kuzungumzia rank za vyuo 2 haswa nyie wa pale kwny mwinuko ndo mnaleta mambo haya kla cku. hapa hatuangalii umesoma wap, 2onyeshe una nn kchwani na umesoma nn (kozi? bulshit
 
sasa maji2 had leo wanaendelea kubishania Rank za vyuo, wa2 wamemaliza vyuo ambavyo haata havipo hapo kwenye list na hvyo hvyo mnavyovidharau still tunawaona wana kazi nzuri na maisha yanaenda, sielewi inakuaje hapo...watu wote wanajing'ang'aniza kuingia UD hata kwa course ambazo hazikuwa kwenye future zao simple kwa sababu ya tittle...think deep maisha sio rank ya chuo brother utaumia, huko uliko kaza utoke na GPA ya maana upate kazi nzuri, thats all we need.....

wewe hata hiyo GPA NI VILAZA. Wapo watu wana GPA NDOGO NA WANAFANYA WONDER, SO GPA SM TM NAPATA MASHAKA NAYO
 
Mnanikumbusha miaka kumi iliyopita; nikiwa nasoma special school iliyokua ikiongoza kitaifa. Eti tuliambiwa hata wa mwisho class angekua hero mtaani. Nikalala, chaguo la chuoni akachaguliwa mwanafunzi wa kata kabla yangu!
 
UNAPOSIFIA CHUO CHAKO ANGALIA NA KOZI UNAYOSOMA SIO UNAMALIZA UNAENDA SUGUA BENCH KITAAAAAAAAAAAAH :shut-mouth:
 
mtoa mada(sasatele) hizo ni web ranking,kuna ranks nyingi za vyuo kama michezo,academics,mazingira,number of lecturers etc,,,,,,,,au wewe ulikuwa unadhani hizo ni rank za nini? and kijana watu huwa hawa angalii umesoma wapi wana angalia una nini kichwani.....unaweza ukawa umesoma chuo chenye jina zuri na cha kwanza kwenye ranks lakini ukawa mtupu kichwani takecare.......

best regards
 
Sijui mtakuwa lini kielimu na ufahamu nini maana ya elimu nyie vizazi vya nyoka. Mimi nimesoma UDSM ila kwa UDSM ya sasa hivi hakistahiri kuwa hata kumi bora hapo kwa vigezo vya miundo mbinu, utawala, publication na research nyingi zilizo kipa chuo hadhi kipind hicho za pale UDSM ni out dated, hata out put za sasa hivi ni hovyo kabisa. Watu mnafurahi tu bila kuhoji vigezo vilivyotumika na hiyo website kupanga rank ya vyuo. Hiyo website imepanga hivyo kutokana na web ranking. Mnafahamu maana ya web ranking?. Acheni upuuzi wa kujaza server na kushadadia mambo bila hata kujua connecting factors.

Unaongea bila evidence, fanya research ya haya uliyoyasema.......kuna mambo mengi sana yanaendelea udsm ambayo kwa mtu wa nje ni ngum kuyajua. UDSM ni think tank ya Taifa na kama hujui hilo sina haja ya kukuhakikishia. External world inaitumia udsm na SUA kama entry point ya kila kitu(chenye link na issue zao) wanachofanya coz walishaatumia vyuo vingine wakaona how shallow they are. Kinachoiharibia udsm ni ile enrollment kubwa (of which hatuna choice coz kila mtu anataka elimu na ni haki yake) na watu wengi wameitumia hii kukishusha chuo. BUT still UDSM ni chuo bora Tanzania na kimestaahili kushika nafasi ya sita.
 
Back
Top Bottom