LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hachezi mpaka msimu ujaowasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
SawaHachezi.
Hachezi mpaka msimu ujao
Mwizi akigusa kwa Kaburu..basi jua Jela ni ya kwake...Jinai haifiVipi kuhusu ishu ya yule mwizi wa magari? Atasafiri na timu kwenda kucheza mechi ya marudiano?