Mturutumbi255
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 200
- 420
Kama picha inavyoonyesha hapa chini,tunatambua kwasasa Timu hizi mbili Simba na Yanga zina wadhamini wao tofauti kabisa.Simba kwasasa inadhaniwa na M-bet na Yanga inadhaniwa na Sportpesa.
Kitendo cha Clouds kupost picha huku ikionyesha timu zote mbili zinadhaminiwa na Sportpesa kitu ambacho sio kweli kwa wakati huu kisheria imekaaje?
Na vipi Club ya Simba na M-bet wakidai kuhujumiwa na chombo hiki cha habari itakuwa sahihi ?