Je Cod liver oil (SevenSeas) inafaa kwa watoto chini ya miezi sita?

Je Cod liver oil (SevenSeas) inafaa kwa watoto chini ya miezi sita?

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
331
Reaction score
210
Je mafuta ya Cod liver maarufu kama SevenSeas yanafaa kuwapa watoto wa chini ya miezi sita? Naomba mwenye uzoefu nayo....faida na hasara zake.....na dozi sahihi....asanteni!
 
Kuna mtu namfahamu alipewa hospital mtoto bado kachanga...ila cha kuzingatia ni dozi.

Kwa uhakika zaidi muone daktari wa watoto
 
Binafsi nafikiri nivizuri kumpa mtoto hizo addition akiwa na umri kuanzia 6 months.
 
Back
Top Bottom