MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 210
Je mafuta ya Cod liver maarufu kama SevenSeas yanafaa kuwapa watoto wa chini ya miezi sita? Naomba mwenye uzoefu nayo....faida na hasara zake.....na dozi sahihi....asanteni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa.....asante....dozi anampa kiasi gani? Mils ngapi?Kuna mtu namfahamu alipewa hospital mtoto bado kachanga...ila cha kuzingatia ni dozi.
Kwa uhakika zaidi muone daktari wa watoto
Dozi si inategemea na uzito wa mtoto??Ahaa.....asante....dozi anampa kiasi gani? Mils ngapi?
Wangu ana 6.5kgDozi si inategemea na uzito wa mtoto??
Mkuu fuata ushauri wa Daktari. Huwezi kujua pengine BADILI TABIA ni fundi bomba tu ndiyo maana kakushauri muone daktariWangu ana 6.5kg
Hahahahahah wewe binadamu....Mkuu fuata ushauri wa Daktari. Huwezi kujua pengine BADILI TABIA ni fundi bomba tu ndiyo maana kakushauri muone daktari
Kwa 1-12 month wanawapa 2.5mls ila ingekuwa nie ningempa 1.5mls maana nakaona kadogo.....Wangu ana 6.5kg
Tufafanulie ndugu.....Acha kabisa kumpa kichanga wako hayo mafuta!
Mtoto anatakiwa anyonye maziwa ya mama mpaka afikishe miezi 12 ndio muanze kumchanganyia hayo madawa yenu.Tufafanulie ndugu.....
Yana omega 3 muhimu sana kwa ukuaji smart wa brain....pia vitamins kwa ajili ya kinga dhidi ya maradhi....Kwa nini unataka kumpa mwanao mdogo mafuta ya samaki?
Yana omega 3 muhimu sana kwa ukuaji smart wa brain....pia vitamins kwa ajili ya kinga dhidi ya maradhi....