MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
ukimwi haupo kwenye maji, upo kwenye damuTatizo sio matundu,bali namna unavyofanya ngono hata kama umevaa,huwezi kuzama chumvini kwenye k ya mwasilika halafu utoke salama kwa asilimia hata 10 tu,
huwezi ukavua condom baada ya tendo na uvae nyingine kwa round ya pili bila kushika uume na mikono iliyolowa uteute wa k ya mwasilika
HIV wapo kwenye majimaji ya uke,manii na kiasi kidogo kwenye mate na machoziukimwi haupo kwenye maji, upo kwenye damu
mara nyingi nasikia wataalamu wanasema virus wapo kwenye damu na ndio maana haijakatazwa ku share nguo, towels na kuoga pa1HIV wapo kwenye majimaji ya uke,manii na kiasi kidogo kwenye mate na machozi
Tatizo lako kondom unavaa kwenye masikio ili usisikie kitanda kunapo piga keleleNdugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa % zote, ni majanga. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
Inaonekana umepata ngoma aseeeNdugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa % zote, ni majanga. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
2. Acha ngono kabisa.
Basi ndo ujue sasa ulkua unajua taarifa za uongo before.mara nyingi nasikia wataalamu wanasema virus wapo kwenye damu na ndio maana haijakatazwa ku share nguo, towels na kuoga pa1
Hivi unaweza ukatusaidia kumuona huyo mdudu wa UKIMWI kwenye picha halisi ili tujue huyo mdudu kama anaweza kupenya kwenye condom?Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa % zote, ni majanga. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.