Je Condom haizuii UKIMWI?

Je Condom haizuii UKIMWI?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa asilimia (%) zote. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
 
Acha siasa ,, unajua virus vina diameter ya ukubwa gani na condom ina vitundu vya ukubwa gani ,,
 
Tatizo sio matundu,bali namna unavyofanya ngono hata kama umevaa,huwezi kuzama chumvini kwenye k ya mwasilika halafu utoke salama kwa asilimia hata 10 tu,
huwezi ukavua condom baada ya tendo na uvae nyingine kwa round ya pili bila kushika uume na mikono iliyolowa uteute wa k ya mwasilika
 
Tatizo ni kuwa hukutumia kwa uangalifu,ila usijari huo ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine pole sana.
 
Tatizo sio matundu,bali namna unavyofanya ngono hata kama umevaa,huwezi kuzama chumvini kwenye k ya mwasilika halafu utoke salama kwa asilimia hata 10 tu,
huwezi ukavua condom baada ya tendo na uvae nyingine kwa round ya pili bila kushika uume na mikono iliyolowa uteute wa k ya mwasilika
ukimwi haupo kwenye maji, upo kwenye damu
 
HIV wapo kwenye majimaji ya uke,manii na kiasi kidogo kwenye mate na machozi
mara nyingi nasikia wataalamu wanasema virus wapo kwenye damu na ndio maana haijakatazwa ku share nguo, towels na kuoga pa1
 
Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa % zote, ni majanga. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
Inaonekana umepata ngoma aseee
 
2. Acha ngono kabisa.

Mkuu Hapo ↑↑ vipi??
Mbona Hujafafanua bali umepigilia Msumari....?

Umesema Mtu Awe Muaminifu Kwa Mkewe/Mumewe! ikisha Aache Ngono! Sasa Huo uaminifu wanandowa Wataupata Wapi Bila Ya Kufanya Ngono??
 
mara nyingi nasikia wataalamu wanasema virus wapo kwenye damu na ndio maana haijakatazwa ku share nguo, towels na kuoga pa1
Basi ndo ujue sasa ulkua unajua taarifa za uongo before.
 
Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa % zote, ni majanga. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
Hivi unaweza ukatusaidia kumuona huyo mdudu wa UKIMWI kwenye picha halisi ili tujue huyo mdudu kama anaweza kupenya kwenye condom?
 
Back
Top Bottom