Je Condom haizuii UKIMWI?

Je Condom haizuii UKIMWI?

Usitudanganye watu wengi wangekuwa wagonjwa leo kama condom zisingezuia ukimwi mkuu,mimi mwenyewe nimelala na wanawake kama 50 hivi ambao nusu yao ni dada poa kabla ya kuamua kuoa na bado nipo negative.
 
Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa asilimia (%) zote. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.

Ngoja wanasayansi waje........
 
Uo utafiti wako ni data za uongo 0.5 ata hewa ingepita kwa kasi, ukiwa umepuliza condom ,, maana 0.5 ni kubwa sana,,, ungesema 0.00008 at least kidogo,
 
Unamanisha sasa virusi na hewa ,, hewa haina uwezo wa kupenya ambapo virusi vinapita? Sio kweli ebu tupe data zingine za ndani
 
Jamani jamani condom zinazuia ukimwi kwa 100% mtumiaji akiwa na akili timamu........nimelala na wanawake wengi wa bar na wanaojiuza na wa mitaani wakubwa kwa wadogo,wake za watu,mabibi mpaka idadi kufikia 26 lakini nimepima ukimwi 2015 mwezi wa 8 ,nikajikuta nko fresh(negative)
 
Tatizo sio matundu,bali namna unavyofanya ngono hata kama umevaa,huwezi kuzama chumvini kwenye k ya mwasilika halafu utoke salama kwa asilimia hata 10 tu,
huwezi ukavua condom baada ya tendo na uvae nyingine kwa round ya pili bila kushika uume na mikono iliyolowa uteute wa k ya mwasilika
Siyo Mwasilika bali ni Mwathirika.
 
Kama Condom zinasaidia kuzuia UKIMWI, mbona Ukimwi na maradhi ya kuambukizwa kwa zinaa yamejaa?
 
inategemea na standard ya condom coz condom nyingi kitaan bei 300 nying expire date imepita pia hata quality hazina katikat ya show zinapasuka so condom ikiwa katka ubora wake 85% upo safe 15%mbwembwe zako mtumiaji.
 
Back
Top Bottom